Ivi Mungu akisema ata yupo mara million na akasema ao ni watoto wake wewe unachompingia Mungu ni kipi na kumuwekea limitations? Yani kumwambia hawezi kufanya hivyomungu wa ukweli aliyeumba mbingu na ardhi na asie kuwa na mtoto mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi Mungu akisema ata yupo mara million na akasema ao ni watoto wake wewe unachompingia Mungu ni kipi na kumuwekea limitations? Yani kumwambia hawezi kufanya hivyomungu wa ukweli aliyeumba mbingu na ardhi na asie kuwa na mtoto mungu
Sawa lkn yy ameshazoweya kumuita Yesu ndio nikamwambia hivo kwa lugha ambayo yy ameizoweya ni sawa na ss waswahili Allah wanimwita Mungu au Mwenyezi Mungu Wazungu God Wahindi Baguwani n.k.Yesu hayupo kwenye Koran wala uislam, uislam na Koran una mtu anaitwa Issa ambae babu yake ni Imran
Acha kutumia takiya
Nenda kwenu Dini zipo kibao kuna mizimu yenu kibao kwenye mapango kwenye miti kwenye mashimo wewe nenda tu hizo ndio za babu zenu kwa nini umeziacha .Bora afrika tuwe na dini yetu wenyewe ma a hizi za kuletewa zinatufanya tunachukiana na kuuana wenyewe kwa wenyewe,ndio lengo lao kweli
Elewa kuwa kila watu na taifa Lina dini zao. Ila Sasa waafrika ndio tumepotea mpaka imefikia mahala majina yetu ya asili hatuyataki eti tunataka ya waarabu na wazungu kuwa ndio majina mazuri huko mbinguni.Nenda kwenu Dini zipo kibao kuna mizimu yenu kibao kwenye mapango kwenye miti kwenye mashimo wewe nenda tu hizo ndio za babu zenu kwa nini umeziacha .
Unapoamua kufuata imani flani, tambua kwamba haufuati kanuni.Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Umenena vyema.Ulikua Mkristo ukiwa unamfuta nani? Mchungaji au Kristo Yesu? Kama mchungaji una haki ila kama ni Yesu mwana wa Mungu aliyehai basi mfuatr barabara. Hana makandokando
Huyo ni maamuma mmoja tu anajifanya Mkristo. Eti watu kucheza makanisani ndio kuna mfanya aache Ukristo? Mbona misikitini na kwenye qaswida wanacheza? Eti wanavaa vibaya, mbona hata wanawake wa kiislam nao wanavaa vibaya? Very funny.Niliokoka miaka kama 20 iliyopita. Sijawahi kujutia wokovu. Yesu ni mwema jamani. Anaponya, anampa mtu amani, furaha, na baadae UZIMA WA MILELE ambao ni yeye tu aliye nao. Mapungufu ya mtu mmoja au hata elfu wanaosema wameokoka na huku hawaendi sawasawa na injili hayawezi kunitenga na upendo wa Kristo. Maana kila mtu atavuna alichopanda.
Kwamba uwe sheikh mchinja buchaniNapenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Ama hakika Akili yako inafanya kazi sawasawa.Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Shida unayo wewe mkuu wala sio kanisa wala ukristoNapenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Tupe story yako kiongozi, alaf unitag tunaitaj kujifunza kakaBinamfsi ni msabato ila nina zaidi ya 10 yrs sijaenda knsn sababu moyo wangu ulishasilim sema tu naogopa kutengwa na familia na mke wangu. Ila moyoni mm tayari ni mwislam na jina langu ni Ally
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
huyo anahaja ya kupulizwa matakonisubiri povu toka kwa Jews wa Nyeburu
Maswali mengin sio yakuuliza mzee. Kwan hujaona waislam wanaoitw makame? Faki ? Pandu ? Na majina mengine ya kikabila na kitamaduni ?? Acheni kukariri kwamba uislam ni uarabu. Mbona mambo yapo wazi. Kwani wakristo wote wanao majina ya kizungu ??? Si wapo wengin weng wenye majin ya kikabila. Tatizo lenu mnawananga sana waislam lkn hamyaoni ya upande wa pili.Hivi ili uwe muislamu ni lazima ubadili na jina.? Je ukiwa muislamu halafu ukakataa kujiita jina la kiarabu na ukaitwa Masumbuko Mtoro kuna tatizo gani?
Je ues asingeamka si wangekufa wote mpk yesu mwenyeweNina swali broo...
Wakati mashua aliyokuwa amepanda yesu na wanafunzi wake ilivopata dhoruba kali baharini wakati yesu amelala, kuna mwanafunzi hata mmoja katikati yao alieamua kuachana na mashua akajitupa baharini??
Wewe unadhani nn kingetokea hata mmoja wao angejitupa baharini? Angepona kweli?
Hapana asingepona, wao walichofanya ni waliamua kumwamsha yesu wakamlilia awasaidie, yesu akaamka akaituliza gharika na wote wakaokolewa na hamna hata mmoja aliyejitupa baharini baada ya kuona gharika.
Walijikaza, wakatiana moyo, wakashikamana kwa umoja wao wakaamua kumuamsha yesu.
Sasa ww unataka ujitupe baharini unapoona dhoruba, hutaki kushikamana na wenzako, una ogopa mashua itazama na utazama na wenzako, hutaki kuzama nao, huo ni ubinafsi na sio ukristo.
UKRISTO NI KUSAIDIANA, KUSHIKANA MIKONO UNAPOONA MWENZAKO ANAANGUKA, UKRISTO NI KUMWOKOA MWENZAKO, UKRISTO NI UPENDO.
Kwa sababu kama unajua makosa kanisani wanayofanya, ww kama mkristo unafanya kazi yeyote ya kuwaelemisha?
umefanya kazi yeyote ya kumkumbusha mchungaji majukumu yake?
Haya ndo mambo yanayo define ukristo wako(kupendana, kujaliana na kukumbushana), wala sio kunena kwa lugha usiku mzima.
Ndugu yangu Ukristo sio kukimbia unapoaana kanisa linapotea, yaan ndio unaenda kinyume kabisa na mafundisho ya yesu, huo ni ubinafsi.
YOU NEED TO UNDERSTAND THE CONTEXT OF BEING A CHRISTIAN BROTHER.
Mtumishi Mokiti. Natumai hujambo kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth. Mimi nili download Jamii forum mpya nikapoteza mazima. Yaani ile unayoweza kuisoma kwa Web View.Onesha nilipotukana
Jamii za Cult zote ndivyo wanavyo fanyaUzuri wa ukristo ni democratic sana...ukiamua kutoka ni hiyari yako wala sio vita.
Ila ingekuwa unatoka upande wa pili kwenda ukristo weeee hawakawii kukula kichwa!!.
ni vita!.
Kumbe Allah ana Mungu wake pia.Naelewa allah kasema usiwe na urafiki na mtu yeyote asie kuwa muislam