Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

Sio kweli ila ukristo sio baba yangu Wala mama yangu
Wewe ni muislamu hujawahi kuwa mkristo. Halafu jeusi tii kama tako la iddi amini. Licha ya uweusi mna sijdah inaonekana kwa kujisugua paji. Mnataman kuwa waarabu ndo maana mnashikilia uislamu kwa bidii mila za kiarabu mkifa kwenye uislamu eti mtabadilika kuwa miarabu.

Hovyo kabisa mwarabu mtarajiwa
 
naelewa hoja ya mleta mada.

sijaona kibaya au cha urongo alichosema japo wengi wanamshambulia bila hata kujenga hoja.

tatizo dini imeshakuwa upofu kila mmoja anahisi dini yake ndo sahihi hata km haiko sawa.

na hii ni mbaya sana tupishane kwa hoja wandugu
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Ulishawahi kujiuliza Kwa nini dini zingine hawafanyi promo ya dini zao?

Promo NI islamic na Christian tu?
 
  • Thanks
Reactions: 511
naelewa hoja ya mleta mada.

sijaona kibaya au cha urongo alichosema japo wengi wanamshambulia bila hata kujenga hoja.

tatizo dini imeshakuwa upofu kila mmoja anahisi dini yake ndo sahihi hata km haiko sawa.

na hii ni mbaya sana tupishane kwa hoja wandugu
Dini za Ibrahim ziko ngapi? Ukipata Majibu hutopata shida kujuwa ukweli kuwa hizi ni biashara za watu, wengine wanafanya promo na wengine Wana uhakika na wateja wao hawahitaji promo.
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Wewe ni Muongo Sio mkristo uliyeokoka. Mkristo hawezi kumuacha Yesu akaenda Uislam forget about that. Ukiona mtu anabadilika elewa alikuwa haelewi hata hicho anachokiabudu. Acha kunidanganya kabisa Mkristo aliyezaliwa mara ya pili Akajazwa Roho Mtakatifu Hawezi badili Imani kabisa Hilo nitakataa Kwa gharama yeyote.
Ila kama ulikuwa wale Wewe nenda Tu ukafie Kwenye dhambi kama wengine. Safari ya mbinguni ni suala binafsi Maamuzi ya ndani ya mtu. Mtu yeyote mzinzi Lazima avutiwe na sera za kule. Pole sana
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Wakristo wamem'mind' mleta uzi kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Mwana wa Mungu dunia ya sasa kila kitu kinachoendelea kimeandikwa kwenye biblia ivyo mtazame Yesu wewe pale msalabani alikufa akafufuka akapaa mbinguni amekaa mkono wa kuume akituombea ivyo dumu kusoma neno biblia kaa kwenye utakatifu tumepewa njia mbili za kuchagua ufalme wa Mungu aliye hai na ufalme wa shetani kwa hiyo moyo wako uhamue kutoka ndani unamfata nani shetani au Mungu Yesu Kwa maana Bwana Yesu anasema mkitaka kunifuata inabidi ujitwike msalaba wako then unifuate maana neno la Mungu linasema

Mt 7:14 SUV​

Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache. Kwa hiyo pambana njia ni nyembamba saana na inayoenda upotevuni ni pana sana na wengi wanaingia umo Mungu atusaidie
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Nenda uislamuni
 
Waarabu wajanja sana wanajua kuwapumbaza wakrsto wajinga km wewe waamini dini ya kigaidi ni nzuri

Ila wewe sio mkristo km mkristo hukupata malezi ya wazazi wakrsto
 
Tatizo unakwenda kanisani kuangalia watu na vitu hujaenda kumtafuta Mungu na nguvu zake...

Hii ni sawa na kumpeleka mdada kwenye duka linalouza unga wa SEMBE na bidhaa nyingine kama perfume nk
umwambie pale umekwenda kununua unga wa sembe hivyo kuona/kuvutiwa na perfume ni makosa...
TUSIJIDANGANYE SISI NI BINADAM NA WALA SIO MALAIKA!!!
 
Uko sawa achana na ibada za mungu mfu alieuliwa na viumbe wake
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Ww ni kobazi wacha ulaghai
 
ajabu yake, hakuna mtu aliyehamia kwenye uislam asijute, huwa wanakuja kujuta tu, its just a matter of time.
 
Kuna sababu mbili zinazoweza kufanya mkristo akajiunga na uislam kwanza ni ndoa vijana wengi wameingia kwenye uislam Kwa kuoa/kuolewa na muislam.Pili wengi Kwa tamaa za pesa za majini wametumbukia kwenye uislam hukuna mkristo anayeingia kwenye uislam Kwa kuvutiwa na uislam.
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemuww

Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Ungekuwa msomaji wa Bible hilo lisingekushangaza. Biblia ilishatuonya kabla haya hayakatokea. Ili tujue mwisho u karibu. Ukristo ni maisha binafsi ya kuishi vile Kristo alituasa, hz drama za kanisa la leo isikupe shida mkuu, ndio last days kabla kurudi kwa Yesu.
 
Uko sahihi kabisa baada ya miaka 10 ukristo utakuwa sawa na fiesta.

Ona ibada za siku hizi za akina amsanja vijana wanapenda vitu rahisi rahisi.

Manabii sasa ndio usiseme.

Ukristo unajifia
Ukristo hautaweza kufa mkuu. Haya yanayotokea n ili kuwatenga wema na wabaya. Rejea mfano wa Yesu juu ya ngano na magugu.
 
Anglican ..England,Roman …Italy,Protestant..German,Islam from Middle East.
In nutshell African hana dini Krk hizi zote tunazoabudu and ukionekana unaabudu kiafrican way unaitwa mchawi iliufuate yale walioleta wao daima na kua mtumwa.
Sipingi dini and I can’t argue kwa lolote Ktk dini unayoitumikia but think carefully what you wish kwenye hii dunia
 
Baki na dini yako...
Huku utaweza kuishi na majini kichwan? Huku full ushirikina
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Ifanyie dini yako promo kwa style ya kuelezea mazuri yake.Hii ya lupondea upande wa pili haitakusaidia.Kanisa.linaendelea kukua kila kukicha
 
Back
Top Bottom