Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Vipi sister Jagina, Mudi saa hizi keshalewa yupo miguu juu ananyonga kama baiskeli, keshapiga glass zake kadhaa za pombe inayotiririka mtoni.

Sijajua wewe umeahidiwa nini !!
 
Yesu mnamsemea kila page, yesu haukujiita MUNGU na hakusema yeye aitwe mwana wa MUNGU

Ikiwa yesu ni mungu basi tukubaliane bibilia ni kitabu cha uongo, kuna maandiko yanayo kataa UUNGU wa YESU, maandiko ni menngi yanayo mkataa yesu kama mungu


Sasa je Kama hiyo bibilia ina jichanganya kila kurasa,na eti hao waandishi walitumia roho Mtakatifu kama sio uongo ni nini?

Ndio maana waislamu tunasema bibilia si maneno ya MUNGU ,
Bibilia si maneno ya MUNGU na


UKRISTO si dini ya kweli
 
A
Achana na hizo dini/imani za kuletwa (imported and imposed) faiths zote, uishi as atheist utaishi kwa amani sana
 
IBILISI ameenda kwa IBILISI
 
Ukristo sio dini kwa sababu ukienda malekani unakutaka biblia imeandikwa kizungu au ukienda nchi yoyote ile utakuta Bible imendikwa kwa nnchi usika ata ukija Tanzania Bible imendikwa kwa kiswahili lakini kitabu cha kislamu ukienda duniani kote maandishi Ni yale Yale na kitabu Ni kile kile akuna ata neno moja lililoandikwa kwa lugha ya nnchi usika
 
Ukristo ndio njia ndugu, Uislam ulianzishwa na shetani ili kupingani na Jesus. Hiko kigezo cha lugha ya kuanzia kulia kuja kushota ni utumwa tu tena ni upinzani dhidi ya ukweli
 
Ukristo ndio njia ndugu, Uislam ulianzishwa na shetani ili kupingani na Jesus.
Shauli lako wewe baki hapo hapo kusema ndio njia na kusingizia uslam Ni ushetani wakati nyinyi wakristo ndio mnaongoza kutoa mapepo kanisani Kila jumapili Sasa sijuwi yataisha lini kabla ujazaliwa wewe babu zako walikuwa wanatoa mapepo mbaka leo bado mnatoa
 
Biblia imetafsiriwa kwa lugha mbalimbali duniani, kurahisisha kuieneza injili, bibilia iliandikwa kwa ki- ebrania (Hebrew), hii ndyo imetafsiriwa kwa lugha nyingine nyingi. kama kitabu ni cha maandiko matakatifu ya Mungu kwa watu woote, kwa nini kuwe na ukiritimba wa kukisoma kwa lugha moja tu? i.e denying access to majority of believers
 
Ndugu hayo mapepo mara nyingi uwa yanatoka kwenye misikiti, ni vijini ambavyo mashee wamevibebe yanakuja kwenye makanisa ndio tunavitoa.

Mudi mwenyewe mapepo yalishamuangusha mpaka chini, wewe dada husifanye masihara na vibwengo
 
Nimeipenda sana hii. Nikweli kama huna Yesu Ndio utababaika lakini kama una Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako utaishi kwa Raha sana.

Watu wengi Hawa mbinafsishi Mungu wao umwabudu Mungu kulingana na mapokeo yao.

Lakini unapogundua Mahusiano ya Mtu na Mungu Niya watu wawili Mungu na Mtu ukishafikia levo ya kuwa na Mungu kama watu wawili na sio wengi hapo utaishi kwa nidhamu na Mungu Atajifunua sana kwako.
 
Ndugu hayo mapepo mara nyingi uwa yanatoka kwenye misikiti, ni vijini ambavyo mashee wamevibebe yanakuja kwenye makanisa ndio tunavitoa.

Mudi mwenyewe mapepo yalishamuangusha mpaka chini, wewe dada husifanye masihara na vib
Uliona wapi msikiti ukatoa mapepo yakaja kwenu acha uchawi mungu Ni mmoja hapa duniani mungu ashindwi na chochote ata angetaka Binadamu waamini dini moja alafu nyengine azifute Wala asingeshindwa na chchote kwani yeye Si ndio muweza wa kila kitu ndugu yangu peponi utaisikia kanisani tu lakini utokanyaga
 
weeeeee mswalie mtume mudi hasije kuchomwa.
 
Alafu nimejuwa kitu kimoja wewe dini kichwani una yaani uwo ukristo wenu wala ujautambua vizuri kiufupi nabishana na mtu ambaye hata dini yake aitambui
kumbe wewe unabishana, mimi sibishani nakueleza ukweli, allah wa waislam kaingiza unyayo kwenye moto huko
 
ushetani wakati nyinyi wakristo ndio mnaongoza kutoa mapepo kanisani Kila jumapili Sasa sijuwi yataisha lini
Unajifanya umejizima data na hujui mashetani yanapotoka

Allah anasema
Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?

Yataisha siku Allah akiacha kuyatuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…