Hapo ndio patamu, YESU alisema mumuite kristo?, au mli muita bila ya ridhaa yake?, hilo andiko lipo Ktk bibilia yakoSema wewe ni mtu wa dini wala sio Mkristo na hujawai kumkiri Kristo kama Bwana na Mwokozi ,ila jua hakuna anaekuja Kwa Baba pasipo mimi( Kristo) endelea na hizo sarakasi mkuu
Yaani wewe hata kuielewa hilo andiko huwezi duuuuuuuh nyie mna kazi nziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiito
"Hakuna anayekuja kwa BABA pasipo mimi"
Hii ni sahihi kabisa maana yake ni kwamba
Hakuna atakaye ingia peponi bila ya kufuata (kumfuata) mtume (MUSSA, ISSA, Muhammad,etc)
Na hayo ni maneno ya kila Mtume
Note BABA maana yake ni MUNGU, usilete blah blah blah zako, na siyo baba biological