Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Sema wewe ni mtu wa dini wala sio Mkristo na hujawai kumkiri Kristo kama Bwana na Mwokozi ,ila jua hakuna anaekuja Kwa Baba pasipo mimi( Kristo) endelea na hizo sarakasi mkuu
Hapo ndio patamu, YESU alisema mumuite kristo?, au mli muita bila ya ridhaa yake?, hilo andiko lipo Ktk bibilia yako

Yaani wewe hata kuielewa hilo andiko huwezi duuuuuuuh nyie mna kazi nziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiito

"Hakuna anayekuja kwa BABA pasipo mimi"

Hii ni sahihi kabisa maana yake ni kwamba

Hakuna atakaye ingia peponi bila ya kufuata (kumfuata) mtume (MUSSA, ISSA, Muhammad,etc)

Na hayo ni maneno ya kila Mtume

Note BABA maana yake ni MUNGU, usilete blah blah blah zako, na siyo baba biological
 
Kanisa ni structure na watu, sio kikundi cha kufkirika kichwani.
Hivi mkuu mbona huwa nyinyi ni mabingwa wa kuzusha?, kwa faida ipi?,

YESU ali abudu Ktk SINAGOGI au kanisani?,
Hivi bibilia yako imetafsiri vipi maana ya SINAGOGI?

Mbona yeye huyo yesu aki kaa na wanafunzi wake hakusema kanisa

In short YESU si Mkristo
 
Wewe endelea kufuturu achana na habari za Ukristo utapata laana ya bure bora ukae kimya, maana akisema akutandike utakufa kibudu
 
Sikia wewe hayo ni majina ya Wayahudi, Ukristo na Uislam nani alianza? Yaani YESU azaliwe miaka 600 Kisha Mohamed anazaliwa uje kuhoji sinagogi? Kweli yaani?
 
Thubutu, never ever Allah akitaka hata hapa ninapo type tu nita tii, na kama huo uchawi basi Allah ndie mlizi wangu halito nipata ila kwa idhini yake, alafu narudia UKRISTO si dini ya MUNGU
 
😂😂😂 Allah ndiyo nani , unafurahisha kweli wewe!
 
Sikia wewe hayo ni majina ya Wayahudi, Ukristo na Uislam nani alianza? Yaani YESU azaliwe miaka 600 Kisha Mohamed anazaliwa uje kuhoji sinagogi? Kweli yaani?
Ndio maana nika sema wewe huna hoja, unacho andika tena kwa lugha ya kiswahili lakini maskini hukijui

Kati ya YESU na Adam nani wakwanza kuishi Duniani?, tena Adam ali anzia kuishi peke yake na akapewa starehe zote, na hizo starehe za huko alipo kua Adam huyo YESU wako haja pewa,

Kati ya ADAM na YESU nani ali kuja Duniani ki miujiza?

ADAM hana baba wala mama, hana hata baba wa kufikia, je mbona yeye hakujiita mwana wa MUNGU, je Duniani kuna binaadamu wa mfanano wake,
mpaka sisi tume chukua jina lake "binaadamu" (bina+adamu)

YESU kazaliwa na Mama tu, na mama yake ali pata uchungu kama wana wake wengine, YESU alikua na baba wa kufikia (Yosef)

Kwa technology ilipo fika nowadays YESU si muujiza mkubwa,

why ?, wana sayansi wanaweza ku tungisha mimba bila ya mwanamke ku ingiliwa tena bikra yake ika baki vile vile, au naongopa?

Sasa Kati ya ADAM na YESU nani kaja Duniani ki miujiza zaidi ya mwenzake?

Haya tuone akili yako ilipo ishia
ADAM ndio wakwanza kuumbwa kabla ya YESU haya je ADAM ni dini gani?, na mbona hamumfuati kama kigezo cha ni umri na YESU ni kinda tena saaaana kwa ADAM

Huna hoja wewe mtoto mdogo tu
 
Ngoja nikuache nilijua najadiliana na binadamu kumbe ni kiumbe kingine kilicho na mfanano wa binadamu, 🤭 🤭 napoteza nguvu zangu bure.
 
Hivi mkuu mbona huwa nyinyi ni mabingwa wa kuzusha?, kwa faida ipi?,

YESU ali abudu Ktk SINAGOGI au kanisani?,
Hivi bibilia yako imetafsiri vipi maana ya SINAGOGI?

Mbona yeye huyo yesu aki kaa na wanafunzi wake hakusema kanisa

In short YESU si Mkristo
Yesu ni Mungu, sisi tunaomuabudu na kumfuata ndiyo tunaitwa wakristo! Usichoelewa hapo ni nini?
 
Hapo ndio patamu, YESU alisema mumuite kristo?, au mli muita bila ya ridhaa yake?, hilo andiko lipo Ktk bibilia yako

Yaani wewe hata kuielewa hilo andiko huwezi duuuuuuuh nyie mna kazi nziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiito

"Hakuna anayekuja kwa BABA pasipo mimi"

Hii ni sahihi kabisa maana yake ni kwamba

Hakuna atakaye ingia peponi bila ya kufuata (kumfuata) mtume (MUSSA, ISSA, Muhammad,etc)

Na hayo ni maneno ya kila Mtume

Note BABA maana yake ni MUNGU, usilete blah blah blah zako, na siyo baba biological
Yani eti miaka 600 baadae anatokea mtu anajiita mtume na watu wanamwamini, mwenyewe alisema anaongea na mapepo, akajaribu kujiua. Hivi mnataka kutufundisha nini kuhusu Yesu wakati Muhammad hakuwepo, hajawahi ata kumuona mtu aliekuwepo kipindi cha Yesu. Antichrist.
 
Yesu mnamsemea kila page, yesu haukujiita MUNGU na hakusema yeye aitwe mwana wa MUNGU

Ikiwa yesu ni mungu basi tukubaliane bibilia ni kitabu cha uongo, kuna maandiko yanayo kataa UUNGU wa YESU, maandiko ni menngi yanayo mkataa yesu kama mungu

Sasa je Kama hiyo bibilia ina jichanganya kila kurasa,na eti hao waandishi walitumia roho Mtakatifu kama sio uongo ni nini?

Ndio maana waislamu tunasema bibilia si maneno ya MUNGU ,
Bibilia si maneno ya MUNGU na

UKRISTO si dini ya kweli
Tumia akili kusoma mafundisho ya yesu utagundua tofauti yake na mitume wote na manabii ...mafundisho ya Yesu ukiyatazama yana mamlaka tofauti na mitume ambao wao mafundisho yao haya kuonyesha mamlaka yao binafsi ...ukitaka kujua kama yesu ndiye mungu ni lazima ujue mambo makuu mawili
1)nini hekima ya mungu kuja duniani na kuishi kama mwanadamu.
2)yesu alisulibiwa kwa sababu gani ? (Hapa hata wakristo awajui kwanini yesu alisulibiwa wao wanapotosha wanasema yesu alisulibiwa kwa sababu ya dhambi ya asili ) huo ni uongo.

KAMA YESU SIYO MUNGU BASI INJILI YOTE NI UPUMBAVU TU ...IPO SIKU NITAELEZA KWANINI NINAWAAMBIA WATU KWA YESU NI MUNGU MWENYEZI NA ALIKUJA HILI IWEJE.
 
Yesu mnamsemea kila page, yesu haukujiita MUNGU na hakusema yeye aitwe mwana wa MUNGU

Ikiwa yesu ni mungu basi tukubaliane bibilia ni kitabu cha uongo, kuna maandiko yanayo kataa UUNGU wa YESU, maandiko ni menngi yanayo mkataa yesu kama mungu

Sasa je Kama hiyo bibilia ina jichanganya kila kurasa,na eti hao waandishi walitumia roho Mtakatifu kama sio uongo ni nini?

Ndio maana waislamu tunasema bibilia si maneno ya MUNGU ,
Bibilia si maneno ya MUNGU na

UKRISTO si dini ya kweli
Biblia aiji changanyi wewe ndiye umechanganyikiwa hata kisayansi kuna mambo ni complex..mfano ni mwanasayansi 👉 Albert Einstein's general theory of relativity is a theory of gravitation that describes how gravity is caused by the curvature of space and time. Viko vitu ni vigumu kiasi wewe unaweza kudhani vimekosewa au vimejichanganya ....Yesu ni mwili wa mwanadamu wenye nafsi ya Mungu ...na usishangaa mungu kuwako duniani kwa mfano wa mwanadamu hata Roho mtakatifu awapo ni mungu ndani ya ubinadamu
 
Note BABA maana yake ni MUNGU, usilete blah blah blah zako, na siyo baba biological
Ukisema allah ni baba wewe sio muislamu

Allah amekataa kabisa kwa msisitizo asiitwe baba
 
Sawa endelea kutukana
Sijatukana ni Allah amesema mwenyewe anatuma mashetani kwa wakristo

Na sisi tunayashughulikia ipasavyo kwa jina la yesu yanarudi kwa Allah

Allah anasema
Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
 
Back
Top Bottom