Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Too strange to be a coincidence!

According to the Biblical account, Pilate offered the Jews the release of just one prisoner and the cursed race chose Barabbas rather than gentle Jesus.

But hold on a minute: in the original text studied by Origen (and in some recent ones) the chosen criminal was Jesus Barabbas – and Bar Abba in Aramaic means ‘Son of the Father’!

Are we to believe that Pilate had a Jesus, Son of God and a Jesus, Son of the Father in his prison at the same time??!!

Perhaps the truth is that a single executed criminal helped flesh out the whole fantastic fable.

Gospel writers, in scrambling details, used the Aramaic Barabbas knowing that few Latin or Greek speakers would know its meaning.
Vipi sister Jagina, Mudi saa hizi keshalewa yupo miguu juu ananyonga kama baiskeli, keshapiga glass zake kadhaa za pombe inayotiririka mtoni.

Sijajua wewe umeahidiwa nini !!
 
MBONA NI MANENO YA YESU YANAYO JULIKANA KABISA AU UNAOGOPA KUWA YANAWAPA POINT 12 WALE TEAM KATAA NDOA 😁😁😁😁 na ndiyo maana yesu akuoa wala kuwa na mwanamke ...huyo tunaye bishana naye anayajua hayo maana Aya kaposti mwenyewe ambayo Yesu aliongelea ndoa na kusema kiasili toka mwanzo mungu alisema mke mmoja na mume mmoja maana Mungu alisema alisema 👉 mtu na atamwacha babaye na manage na kuambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja hata si wawili tena bali mwili mmoja.
Ngoja nikukopie ile Aya yote maana nilisha post huko nyuma .
Yesu mnamsemea kila page, yesu haukujiita MUNGU na hakusema yeye aitwe mwana wa MUNGU

Ikiwa yesu ni mungu basi tukubaliane bibilia ni kitabu cha uongo, kuna maandiko yanayo kataa UUNGU wa YESU, maandiko ni menngi yanayo mkataa yesu kama mungu

Sasa je Kama hiyo bibilia ina jichanganya kila kurasa,na eti hao waandishi walitumia roho Mtakatifu kama sio uongo ni nini?

Ndio maana waislamu tunasema bibilia si maneno ya MUNGU ,
Bibilia si maneno ya MUNGU na

UKRISTO si dini ya kweli
 
A
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Achana na hizo dini/imani za kuletwa (imported and imposed) faiths zote, uishi as atheist utaishi kwa amani sana
 
IBILISI ameenda kwa IBILISI
 
Ukristo sio dini kwa sababu ukienda malekani unakutaka biblia imeandikwa kizungu au ukienda nchi yoyote ile utakuta Bible imendikwa kwa nnchi usika ata ukija Tanzania Bible imendikwa kwa kiswahili lakini kitabu cha kislamu ukienda duniani kote maandishi Ni yale Yale na kitabu Ni kile kile akuna ata neno moja lililoandikwa kwa lugha ya nnchi usika
 
Ukristo sio dini kwa sababu ukienda malekani unakutaka biblia imeandikwa kizungu ukienda au ukienda nchi yoyote ile utakuta Bible imendikwa kwa nnchi usika ata ukija Tanzania Bible imendikwa kwa kiswahili lakini kitabu cha kislamu ukienda duniani kote maandishi Ni yale Yale na kitabu Ni kile kile akuna ata neno moja lililoandikwa kwa lugha ya nnchi usika
Ukristo ndio njia ndugu, Uislam ulianzishwa na shetani ili kupingani na Jesus. Hiko kigezo cha lugha ya kuanzia kulia kuja kushota ni utumwa tu tena ni upinzani dhidi ya ukweli
 
Ukristo ndio njia ndugu, Uislam ulianzishwa na shetani ili kupingani na Jesus.
Shauli lako wewe baki hapo hapo kusema ndio njia na kusingizia uslam Ni ushetani wakati nyinyi wakristo ndio mnaongoza kutoa mapepo kanisani Kila jumapili Sasa sijuwi yataisha lini kabla ujazaliwa wewe babu zako walikuwa wanatoa mapepo mbaka leo bado mnatoa
 
Ukristo sio dini kwa sababu ukienda malekani unakutaka biblia imeandikwa kizungu au ukienda nchi yoyote ile utakuta Bible imendikwa kwa nnchi usika ata ukija Tanzania Bible imendikwa kwa kiswahili lakini kitabu cha kislamu ukienda duniani kote maandishi Ni yale Yale na kitabu Ni kile kile akuna ata neno moja lililoandikwa kwa lugha ya nnchi usika
Biblia imetafsiriwa kwa lugha mbalimbali duniani, kurahisisha kuieneza injili, bibilia iliandikwa kwa ki- ebrania (Hebrew), hii ndyo imetafsiriwa kwa lugha nyingine nyingi. kama kitabu ni cha maandiko matakatifu ya Mungu kwa watu woote, kwa nini kuwe na ukiritimba wa kukisoma kwa lugha moja tu? i.e denying access to majority of believers :CaptFailFish:
 
Shauli lako wewe baki hapo hapo kusema ndio njia na kusingizia uslam Ni ushetani wakati nyinyi wakristo ndio mnaongoza kutoa mapepo kanisani Kila jumapili Sasa sijuwi yataisha lini kabla ujazaliwa wewe babu zako walikuwa wanatoa mapepo mbaka leo bado mnatoa
Ndugu hayo mapepo mara nyingi uwa yanatoka kwenye misikiti, ni vijini ambavyo mashee wamevibebe yanakuja kwenye makanisa ndio tunavitoa.

Mudi mwenyewe mapepo yalishamuangusha mpaka chini, wewe dada husifanye masihara na vibwengo
 
Hakunaga mkristo anayemjua kristo anayehamia uislam mkuu. Wengi levo zetu za ukristo ni za kimadhehebu, ila ukifikia level za kuwa na Yesu kama mwokozi binafsi ambaye ni Mungu utawashawishi waislam wengi wamfuate Yesu sio kuhamia kwao.

Ilq naheshimu maamuzi yako.
Nimeipenda sana hii. Nikweli kama huna Yesu Ndio utababaika lakini kama una Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako utaishi kwa Raha sana.

Watu wengi Hawa mbinafsishi Mungu wao umwabudu Mungu kulingana na mapokeo yao.

Lakini unapogundua Mahusiano ya Mtu na Mungu Niya watu wawili Mungu na Mtu ukishafikia levo ya kuwa na Mungu kama watu wawili na sio wengi hapo utaishi kwa nidhamu na Mungu Atajifunua sana kwako.
 
Ndugu hayo mapepo mara nyingi uwa yanatoka kwenye misikiti, ni vijini ambavyo mashee wamevibebe yanakuja kwenye makanisa ndio tunavitoa.

Mudi mwenyewe mapepo yalishamuangusha mpaka chini, wewe dada husifanye masihara na vib
Uliona wapi msikiti ukatoa mapepo yakaja kwenu acha uchawi mungu Ni mmoja hapa duniani mungu ashindwi na chochote ata angetaka Binadamu waamini dini moja alafu nyengine azifute Wala asingeshindwa na chchote kwani yeye Si ndio muweza wa kila kitu ndugu yangu peponi utaisikia kanisani tu lakini utokanyaga
 
weeeeee mswalie mtume mudi hasije kuchomwa.
 
Alafu nimejuwa kitu kimoja wewe dini kichwani una yaani uwo ukristo wenu wala ujautambua vizuri kiufupi nabishana na mtu ambaye hata dini yake aitambui
kumbe wewe unabishana, mimi sibishani nakueleza ukweli, allah wa waislam kaingiza unyayo kwenye moto huko
 
ushetani wakati nyinyi wakristo ndio mnaongoza kutoa mapepo kanisani Kila jumapili Sasa sijuwi yataisha lini
Unajifanya umejizima data na hujui mashetani yanapotoka

Allah anasema
Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?

Yataisha siku Allah akiacha kuyatuma
 
Back
Top Bottom