Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Ukristo ndio njia ndugu, Uislam ulianzishwa na shetani ili kupingani na Jesus. Hiko kigezo cha lugha ya kuanzia kulia kuja kushota ni utumwa tu tena ni upinzani dhidi ya ukweli

Yesu haujui ukristo hata harufu yake haujui
 
Wewe umesema ame m made tuambie amewezaje?
Sijasema Mimi ni biblia ndiyo iliyoandila Eti Yesu alikuwa na kijana aliyeweka chupi begani kule vichakani vya bustani ya Gesthemane saa Za alfajiri. Labda kule ndiyo kiliko kiwanda chake
 
😀😀labda km uislam una Mungu mwingine.

Wewe hata matatizo yakitokea kwa familia yako sishangai ukiitelekeza
 
Jamani, tusitukanane kwa Imani za kuletewa! Kwanini kuvuruga utulivu wa wenzako? India wanaabudu miti, mito, wanawali, ng'ombe, wanadamu, mawe nk mbona hawalumbani? Kwanza ndiyo wanaendekea! Lakini miafrika kila siku inauwana kwa ajili ya dini! Uliongea na Mungu akakwambia yeye dini yake ni ipi? Waafrika acheni kuonekana kama nyie ndiyo wajinga viongozi hapa duniani!
 
Unajifanya umejizima data na hujui mashetani yanapotoka

Allah anasema
Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?

Yataisha siku Allah akiacha kuyatuma
Sawa endelea kutukana yaani wewe uzini uwibe utapeli watu udanganya watu alafu eti mungu wenu yesu anasema anakufa na kuwondoka na dhambi zenu wote mmmh soma vizuri Bible yako mzee uwone jinsi gani inavyokudanganya mungu gani ametoka sehemu ambayo ata wewe umetoka mungu gani anakwenda chooni mungu gani anakula mungu gani ametailiwa soma vizuri Bible
 
Huna elimu ya kutosha ya ulimwengu!

Hakuna dini ya haki Wala ya nini!

Dini zote lengo kuu ni kutawala wanyonge kifikra kupitia serikali za ulimwengu!ndio maaana dini na serikali ni mapacha kabisa!
 
Hongera!
Ni kweli kabisa
 
Sema wewe ni mtu wa dini wala sio Mkristo na hujawai kumkiri Kristo kama Bwana na Mwokozi ,ila jua hakuna anaekuja Kwa Baba pasipo mimi( Kristo) endelea na hizo sarakasi mkuu
 
Sema wewe ni mtu wa dini wala sio Mkristo na hujawai kumkiri Kristo kama Bwana na Mwokozi ,ila jua hakuna anaekuja Kwa Baba pasipo mimi( Kristo) endelea na hizo sarakasi mkuu
Huyo ni shekh ila anaruka sarakasi ili abebe wafuasi. Kiukweli Uislamu haujawi kunivutia kwasababu
1. Allah anatumia lugha moja tu ya kiarabu
2. Mohamad alioa binti wa miaka 9
3. Mohamad alikuwa hajui kusoma na kuandika. Hiyo Quran alijua imeandikwa nini?
4. Dini kufungamana na majini
5. Kuua na kuchoma za makanisa ili kutetea uislamu
6. Kuwa na mahakama
7. Kujiona wao ni bora kuliko wengine
8. Waislamu na waarabu hawana akili ya kutengeneza bidhaa au vitu. Mifumo yote duniani mpaka bidhaa 99.9% wametengeneza wao wanaowaitwa makafiri. Waislamu duniani wametengeneza nini? Ujinga tu
9. Uislamu ni dini ambayo haijitoshelezi mafundisho, ukitaka uhubiri kuhusu uislamu au kuutangaza uislamu lazima uukashifu ukristo
10. Ujinga huu Hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…