Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Ukisema allah ni baba wewe sio muislamu

Allah amekataa kabisa kwa msisitizo asiitwe baba
Kwa akili yako ndogo hiyo ndio hoja?, huna kitu na huna elimu kabisa

Allah ni baba yetu ndio
( siyo biological) No

Na hilo halina ubishi hata chembe
Mfano kupitia majina matukufu hakuna "MLEZI" ispokua Allah

Kama ulizani ulikua kupitia uwezo wako basi unajidanganya
.

kwani YESU alipo kuwa ana jiita mwana wa Adam ndani ya bibilia wewe hilo andiko huki liona au dharau?.
Je alikua na maana gani?, au niki liweka hilo andiko ndio utaamini kuwa YESU si mwana wa MUNGU?,
Njoo ktk dini ya kweli uislamu
 
Wewe huna hoja, hivi inakuwaje una mjinga wa kiwango cha sgr?


Ikiwa hayo uyasemayo ni kweli basi hiyo Bibilia yako ina uongo au YESU hakueleweka , Ndani ya bibilia kuna Kuna
Yakobo 1:17 MUNGU habadiliki
Bibilia ina sema MUNGU haonekani
Bibilia ina sema MUNGU hafi
Bibilia ina sema sauti ya MUNGU haijasikika

Hivi wewe sio mjinga?

Yaani bibilia ina ipinga bibilia?

Wewe sio mjinga tena wa mwisho?


Kati ya YESU na ADAM nani kazaliwa ki miujiza?

ADAM kazaliwa hana BABA wala MAMA

Swali je Kuna binaadamu anaweza kuzaliwa bila ya mama na baba?
Je hiyo sayansi wanaweza ku tungisha mimba bila ya mama na baba??


YESU kazaliwa na Mama pekee bila ya baba, lakini Mama yake alipata uchungu kama wana wake wengine, kila kitu anachotakiwa kupata mwana mke mjamzito yeye mama YESU ali pata.

Je wana sayansi hawawezi kutungisha mimba kwa mwanamke bila ya kuingiliwa na mwanaume na akazaa?,

Jibu inawezekana

Sasa kama ndio HIVO Kati ya ADAM na YESU na muujiza mkubwa ?
Wewe huna hoja huna elimu yoyote
 
Wewe si ukataae tu, bibilia si kitabu cha MUNGU,

Hoja yako ina pingwa hapa
yakobo 1 :17 MUNGU habadiliki

Yaani maana yake MUNGU hawezi leo kua bluu kesho awe njano, kesho kutwa awe nyeusi, never hio ndio maana yake,


Huna hoja wewe mtoto mdogo tu


Na kujichanganya kwa bibilia huwezi kukuzia,
Hivi ktk mitume wa YESU nani mkweli unaye muamini na nani huwezi muamini?
 
Wewe huna hoja, wewe mtoto mdogo tu, niitie mwalimu wako wa Imani anipe majibu according to bibilia, yaani ktk bibilia yako wewe ni beginner, apa ana pingwa au kuteewa YESU according to bibilia siyo upumbavu wako
 
Wewe huna hoja, wewe mtoto mdogo tu, niitie mwalimu wako wa Imani anipe majibu according to bibilia, yaani ktk bibilia yako wewe ni beginner, apa ana pingwa au kuteewa YESU according to bibilia siyo upumbavu wako
Mbwa wewe. Kanisa lilikuwepo kabla ya bibilia. Hujui kitu takataka wewe. Hakuna sehemu kwenye bibilia imeandikwa kila kitu lazima kitoke huko. Bwege wewe. Hakuna kitu unajua. History wala facts.
 
Endeleeni kukalia hayo hayo huku tumboni mkipepeta kwa njaa


Si Trump tu bali hakuna mjinga anaweza unga mkono ushuzi kama wako
 
Narudia wewe huna hoja, matusi unayo ila hoja ya kumtetea YESU huna na hutokuwa nayo
Yaani kanisa lilikuwepo kabla ya ADAM?,
Sas bibilia yako huijui uta kuwa na hoja ya kumtetea
Mbwa wewe. Kanisa lilikuwepo kabla ya bibilia. Hujui kitu takataka wewe. Hakuna sehemu kwenye bibilia imeandikwa kila kitu lazima kitoke huko. Bwege wewe. Hakuna kitu unajua. History wala facts.
 
Mbwa wewe. Kanisa lilikuwepo kabla ya bibilia. Hujui kitu takataka wewe. Hakuna sehemu kwenye bibilia imeandikwa kila kitu lazima kitoke huko. Bwege wewe. Hakuna kitu unajua. History wala facts.
Kwanza siitaji majibizano na wewe leave comments zangu nami naacha zako please
 
Mitume wa yesu wote wapo sahihi tu...wala mungu ajabadilika tatizo ni akili zako ndogo .... kama unashangaa kwavipi yesu ni mungu mwenyezi basi kajifunze kuhusu roho mtakatifu maana hata roho mtakatifu ni huyo huyo mungu mwenyezi
 
We focus na Mungu, ukikomaa na dini unakua bado kwenye mzunguko uleule.
Tumieni akili ya kawaida tu. Unawezaje kufocus na Mungu tu pasi na kuufata mafundisho yake ?

Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia nini ?

Yaani unachokiandika haliwezekani katika uhalisia. Kaa kutafakari upya.
 
Hapo ndipo untajifunza kufocus na Mungu, Sio dini sio watu

Embu tuambie, unawezaje kufocus na Mungu pasi naafundisho yake ? Hivi huwa mnafikiria juu ya haya mnayoyaandika ?

Acheni ujuaji kwenye hakuna.
 
Mimi nimefanya utafiti nikagundua kuwa njia ya kweli ni Yesu.uislamu ni utapeli tu.
 

Unaandika kwa kujifurahisha au unaleta utani ?

Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwenye kuitafuta akabaki kuwa Mkristo baada ya kuujua Ukristo. Huyo mtu hakuna.
 
Tumia akili wewe unaongea upuuzi ambao niliwajibu waislamu wenzako wakakosa hoja una rudia rudia mambo ndiyo maana naona uvivu kukujibu .....yesu ni mungu ndani ya mwili ni kama tulivyo sisi binadamu ni nafsi ndani ya miili hata sisi binadamu atujawai kuonana katika nafsi ambayo ndiyo sisi miili ni jumba tu linalo kuifadhi wewe na mimi hivyo hata wewe ujawai kujiona unachokiona ni mwili wako tu siyo wewe mwenyewe ambaye ni nafsi hivyo mungu ajawai kuonekana kama alivyo bali alionekana mwili ambao mwili wa yesu siyo Mungu, bali nafsi ya yesu ndiyo mungu...

Kuhusu kufa kilichokufa ni mwili wa yesu, nafsi ya yesu ambayo ndiyo Mungu ilitoka tu ndani ya mwili na kufanya mwili ubaki mfu na siku ya tatu nafsi ya mungu ililejea ndani ya mwili wa yesu na huko ndiyo kufufuka ...hivyo mungu akufa lilicho kufa ni mwili ndiyo maana msalabani yesu anamuambia yule muhalifu kuwa 👉leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi ....sasa yesu aliye kufa kwa siku tatu ni yupi na huyo anaye sema leo hiiutakuwahai pamoja nami peponi ni yupi ?
 
3. Ibada yako ime base kwenye sheria zaidi. Wakati msingi wa Ukristo ni neema.
Hiki ulichokiandika unakielewa ? Kama ni neema, Sasa kwanini mnafanya matendo na mnapenda Kanisani ?

Ila Wakristo huwa mnamatatizo sana katika ufikiriaji, yaani mnaonekana huwa hamsomi maandiko yenu na hamjui asili yake, Wala hamfanyi utafiti.

Ukristo ndio maana sio ukweli sababu Hauna asili Toka kwa Yesu.
 
Mitume wa yesu wote wapo sahihi tu...wala mungu ajabadilika tatizo ni akili zako ndogo .... kama unashangaa kwavipi yesu ni mungu mwenyezi basi kajifunze kuhusu roho mtakatifu maana hata roho mtakatifu ni huyo huyo mungu mwenyezi
YESU alipo surubiwa alivaa vazi gani??

Wanafunzi wa YESU walishuhudia kifo chake mwanzo mwisho, na hao walikua wanaongozwa na
"roho Mtakatifu"

Ajabu kila Mwanafunzi ana elezea hilo tukiovtofauti na mwengine

Mara wakati YESU ana surubiwa alivaa vazi la zambarau , mwengine anasema yesu wakati ana surubiwa alivaa vazi jekundu,

Which is which?, huyo ndio roho Mtakatifu aliye waongoza?


Na hiyo ndio bibilia Yako,
Swali je nani yupo sasi Kati yao?

Note maandiko yapo, hilo sio kipengele

Mkuu still huna hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…