Biblia aiji changanyi wewe ndiye umechanganyikiwa hata kisayansi kuna mambo ni complex..mfano ni mwanasayansi 👉 Albert Einstein's general theory of relativity is a theory of gravitation that describes how gravity is caused by the curvature of space and time. Viko vitu ni vigumu kiasi wewe unaweza kudhani vimekosewa au vimejichanganya ....Yesu ni mwili wa mwanadamu wenye nafsi ya Mungu ...na usishangaa mungu kuwako duniani kwa mfano wa mwanadamu hata Roho mtakatifu awapo ni mungu ndani ya ubinadamu
Wewe huna hoja, hivi inakuwaje una mjinga wa kiwango cha sgr?
Ikiwa hayo uyasemayo ni kweli basi hiyo Bibilia yako ina uongo au YESU hakueleweka , Ndani ya bibilia kuna Kuna
Yakobo 1:17 MUNGU habadiliki
Bibilia ina sema MUNGU haonekani
Bibilia ina sema MUNGU hafi
Bibilia ina sema sauti ya MUNGU haijasikika
Hivi wewe sio mjinga?
Yaani bibilia ina ipinga bibilia?
Wewe sio mjinga tena wa mwisho?
Kati ya YESU na ADAM nani kazaliwa ki miujiza?
ADAM kazaliwa hana BABA wala MAMA
Swali je Kuna binaadamu anaweza kuzaliwa bila ya mama na baba?
Je hiyo sayansi wanaweza ku tungisha mimba bila ya mama na baba??
YESU kazaliwa na Mama pekee bila ya baba, lakini Mama yake alipata uchungu kama wana wake wengine, kila kitu anachotakiwa kupata mwana mke mjamzito yeye mama YESU ali pata.
Je wana sayansi hawawezi kutungisha mimba kwa mwanamke bila ya kuingiliwa na mwanaume na akazaa?,
Jibu inawezekana
Sasa kama ndio HIVO Kati ya ADAM na YESU na muujiza mkubwa ?
Wewe huna hoja huna elimu yoyote