Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

1. Kwa kipindi chote cha Ukristo wako ni wazi kabisa hukujua ulichokuwa unakiabudu.

2. Mungu ni Roho nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
3. Ibada yako ime base kwenye sheria zaidi. Wakati msingi wa Ukristo ni neema.

4. Mwisho, ni muhimu kutambua ibada ni ya mtu mmoja, na inahusu mahusiano yako binafsi na Mungu, sio kikundi.
 
Huyo Mwenyezi Mungu mwenyewe hujathibitisha kuwa yupo.
 
kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu

Tamka maneno haya huku ukiwa na yakini moyoni;

Ash-hadu an laa ilaaha illa Allah, wa ash hadu anna Muhammadan Rasul Allah

Maana yake;

Ninashuhudia kwamba hapana mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allaah. na ninashuhudia kwamba Muhammad ni Mtume wa Allah.

Karibu katika Uislam, Dini ya Mitume wote wa Allah. Dini aliyoileta Allah kwa ajili ya watu wote. Actually kusilimu kwako ni kurudi katika asili yako. Ulipozaliwa, ulizaliwa katika fitrah ya Uislam ila wazazi/walezi wako wakakupeleka katika ukristo.

Karibu katika Uislam. Uislam ndio muongozo kwako kutoka kwa Mola Mlezi wa Walimwengu wote. Ndio sababu ya kufaulu kwako.

Harakisha kurejea katika Uislam.


Allah akuongoze.
 


Kazakh destroyer
 
Kwa uandishi huu we ni muislam tangu zamani.
Sasa sikia, Mungu hahitaji mwanadamu apiganie dini yake, tupo sahihi kabisa kutokuwa na upuuzi wa kupigania dini. Mwenye dini yake ndo anajua atafanya nini ili iendelee.
Ukristo sio matendo ya wachungaji, ukristo ni mafundisho yaliyo ndani ya bible. Ikiwa bible ina mafundisho ya hovyo hapo upo sahihi kuhama ila kama unahama kwa sababu ya maovu ya watu wengine then you are wrong.

Uislam ni dini yenye mafundisho ya kipumbavu saaaana, nakushauri pitia kwanza mafundisho yao ndo ujiunge nao. Ukikurupuka tu tutajikuta upo kwa wapumbavu
 
Kwahiyo na utuuzima wako huo unaamini kwamba dini ndo itakupeleka mbinguni.?
 
Kinachonishangaza ni wakristu kutoinadi dini yao wala kuilinganisha na dini zingine.Wao wako bize kuhubiri toba na kuiamini injili.
Huwezi mkuta Padre au Pastor analinganisha ukristu na dini zingine za kata!
 
Barikiwa mtumishi wa Mungu katika kila unalolifanya..
 
Ninashuhudia hakuna Mungu ila Allah na muhammad ni mtume wake.
Hayo ya mungu anayestahili kuabudiwa umechomeka kukwepa namna waislam mnamreplace Mungu na allah.
Hii ni kufuru na ukafiri uliopindukia
 
Dini haina fomula maalum
Umejitahidi kuficha imani yako halisi kwa kutumia kivuli cha imani nyingine!

Tumia akili yako vizuri katika kufikiri kama Mungu anaweza kutamka haya maneno:

Waislamu:

Surah Al-Baqarah - 120​


وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ ٱلْيَهُودُ وَلَا ٱلنَّصَـٰرَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى ٱللَّهِ هُوَ ٱلْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ ٱتَّبَعْتَ أَهْوَآءَهُم بَعْدَ ٱلَّذِى جَآءَكَ مِنَ ٱلْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ ٱللَّهِ مِن وَلِىٍّۢ وَلَا نَصِيرٍ ١٢٠

Never will the Jews or Christians be pleased with you, until you follow their faith. Say, “Allah’s guidance is the only ˹true˺ guidance.” And if you were to follow their desires after ˹all˺ the knowledge that has come to you, there would be none to protect or help you against Allah.


Wakristo:

Isaya: 34:2-3

2:
Maana BWANA ana ghadhabu juu ya mataifa yote, na hasira kali juu ya jeshi lao lote; amewaangamiza kabisa, amewatoa waende kuchinjwa. 3:Watu wao waliouawa watatupwa nje, na uvundo wa maiti zao utapaa juu, na milima itayeyushwa kwa damu yao.


Swali: Bado unaamini Mungu ana dini??
 
KWENYE BIBLE NAPENDA ZAIDI KUSOMA NYARAKA ZA YOHANA
Hiking ndicho usomacho???

Yohana 14:9

9 Yesu akamjibu, “Filipo, imekuwaje hunifahamu baada ya mimi kuwa pamoja nanyi muda wote huu? Mtu ye yote ambaye ameniona mimi, amemwona Baba. Sasa inakuwaje unasema, ‘Tuonyeshe Baba’?

Yohana 5:37
Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.
Jagina Setfree Lwiva
 
Naomba unijibu kwanza maana mnatuchanganya.
Hawa IS, Boko Haram, Al shabab, Al Qaeda, Taleban, Hamas, wanamwabudu Allah au ibilisi?
 
Hao wenye dini yao Uarabuni ndo wanaongoza kwa mambo ya ajabu, wanabaguana wao kwa wao, wanaoa adi mtot wa miaka 9, wanatunduana mitaro kama hawana akili nzuri, wanyanyasaji, we na umaskin wako huendi kuhiji kulibusu jiwe lao, kama hujui kiarabu basi hujamuomba Mungu lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…