Digitaldreamer
Senior Member
- Jun 11, 2022
- 121
- 43
Hata yule ambaye haamini uwepo wa Mungu ni imani lake pia.Ndo maana nasema jamaa ana maelfu ya kilomita kusanuka! Dini dini! Hehehee
Kwa hiyo hana alichokosea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata yule ambaye haamini uwepo wa Mungu ni imani lake pia.Ndo maana nasema jamaa ana maelfu ya kilomita kusanuka! Dini dini! Hehehee
Kwani akipewa mabikra 72 we kina kuuma nini?, kama dini yenu ipo ipo tu nenda uka lalamike huko, starehe na zawadi kwa waliofaulu zipo nyingi saaaana,Kwahiyo kupewa mabikra 72 na mapipa ya pombe ndo ukweli na haki? 😹😹
Wewe ni mkristo wa dhehebu gani? Maana kuna madhehebu ya ukristo yaliyo na liturjia iliyo moja popote uendapo duniani, hata kama huongei lugha husika ukifika utasali kwa utaratibu ule uleNimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Kwa tamaduni za watu wa zamani na miaka hiyo ilikuwa ni kawaida kwa wao kuoa wasichana wadogoDini ya Haki inayoruhusu Mzee wa miaka 56 kumuingilia kimwili mtoto wa miaka 9 kama mke halali wa ndoa,hii ni zaidi ya unyama hata jogoo hafanyi hivyo
Hao ni waromani ambao ni sawa na Hawa hapa ,tofauti Yao nini?Hata ingekua mimi ni wewe ningebadilisha tu dini ni bora hata ningekua mpagani lakini siyo kwenda kuomba toba na baraka mbele ya mifuko miwili ya cement iliyochanganywa na kokoto kama huyu jamaa View attachment 3261635![]()
Skia Nikwambie acha ujuaji wa ki puuzi, yaani ni sawa na mtu aulize kuhusu chakula kizuri cha kumpa afya alafu eti wewe una mshauri alale njaa kisa wewe huna hela , ajakwambia haamini mungu na ndio maana kataja ukristo na uislamu, sasa je wewe upo wapi hapoHapa ni public forum, kila mada ni ya kujadiliwa na watu wote.
Si kanisani wala msikitini hapa.
Oppress kama oppresHao ni waromani ambao ni sawa na Hawa hapa ,tofauti Yao nini?
View attachment 3261822
Nini kilikufanya uamini hivyoNilianza kuwa na shaka miaka mingi lakini nilikuja kuhakikisha kabisa kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo mwaka 1995.
Ndio maana unaitwa morning gloryNimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Hawa ni oppress kweli ,wanaabudi jiwe jeusi ,anawacheka wenzake waromani wakati ni wale waleOppress kama oppres
Akili umepata lini?baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
As a web designer, I discourage having too many forum categories to ensure easy navigation.Uongozi wa JF warudishe jukwaa la DINI
Hzi maada ziende kule wafia dini wakapambane huko kupunguza hizi kadhia|kero kila siku!
Acha uongo bibilia si maneno ya mungu, hayo ni maneno ya Paulo kwa asilimia kubwa sna, alafu huo ukristo wako nao ni mchongo tuPole sana, kwa sababu ulizaliwa kwenye Ukristu na kukulia kwenye imani ya Kikristu lakini hujui Maandiko ya Biblia yanafundisha nini. Yote unayoyaona na kuyasikia nyakati hizi kuhusiana na Manabii wa Uongo, Makristo wa Uongo, Wachungaji ambao mungu wao ni tumbo, yote hayo yameandikwa kwenye Biblia. Hivyo matukio unayoyana sasa hayafanyi Ukristo kuwa dini ya uongo, badala yake yanadhihirisha kuwa Biblia ni kitabu chenye ukweli, na wanaoamini yaliyoandikwa katika Biblia wanaifuata njia ya kweli.
Lete ushahidi kuwa mtu mweusi hana ahadi ya pepo otherwise ni porojoMtu mweusi hana ahadi ya bikra 72 wala pepo ona allah alivyo mbaguzi
Hao ingebidi uwaulize wenyeweNaomba unijibu kwanza maana mnatuchanganya.
Hawa IS, Boko Haram, Al shabab, Al Qaeda, Taleban, Hamas, wanamwabudu Allah au ibilisi?
Tofauti yao hawa wanaabudu Mungu hao waroma wanaabudu sanamuHao ni waromani ambao ni sawa na Hawa hapa ,tofauti Yao nini?
View attachment 3261822