Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Kwani kuna tofauti kati ya ukristo na uislamu mwanangu?
 
Kwahiyo unaamini kuwa ikifika usiku ni kwamba jua linaingia kwenye matope? Au ukifa shahidi utapewa madem 72 bikra kwenye bustani yenye mito ya maziwa na asali?🤣...Naheshimu imani yako lakini 100%
 
Hakuna Dini ya Mungu Duniani!

Mungu hakuumba dini!Dini zilikujabaadaesana Tena zilianzishwa na watu!!!

Usidanganyike,tumejiunga nazo ili kupata huduma za kijamii tu!
 
ndege JOHN ebu nitajie sheria 3 ambazo kwa wewe binafs umeona ni ngumu mno kutekelezeka

pengine tunaweza kupata kitu cha kujifunza
 
Hivi wewe lini uligundua kuwa Mungu hayupo
Nilianza kuwa na shaka miaka mingi lakini nilikuja kuhakikisha kabisa kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo mwaka 1995.
 
Mungu ni mmoja,

Ukristo,
Uyahudi,
Uislam na dini zingine,ni njia tu ya kumfikia Mungu mwenye haki.

Yaani umeshuka kwenye Golden deer umeamua kupanda Majinjah kifupi safari yako utafika tu
Uongo huo, wakristo hawana mungu mmoja, alafu majinjah ni ukristo
 
Dini ya Haki inayoruhusu Mzee wa miaka 56 kumuingilia kimwili mtoto wa miaka 9 kama mke halali wa ndoa,hii ni zaidi ya unyama hata jogoo hafanyi hivyo
mtume alimuoa akiwa na miaka 9 kisha akamuacha mpk alipobalehe kuwa mwanamke kamili ndio akamfanya mke wake kamili

Sasa hapa nakuambia hadi kufikia miaka ya 1800 mwishoni karibu nchi zote za ULAYA ikiongozwa na UINGEREZA taifa ambalo ukristo ulikuwa umetamalaki sheria ya NDOA ya msichana umri wa kuolewa ulikuwa kuanzia miaka 9
unafahamu hili kumbuka MTUME mtume yeye ilikuwa miaka ya 600 huko
 
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu
Pole sana, kwa sababu ulizaliwa kwenye Ukristu na kukulia kwenye imani ya Kikristu lakini hujui Maandiko ya Biblia yanafundisha nini. Yote unayoyaona na kuyasikia nyakati hizi kuhusiana na Manabii wa Uongo, Makristo wa Uongo, Wachungaji ambao mungu wao ni tumbo, yote hayo yameandikwa kwenye Biblia. Hivyo matukio unayoyana sasa hayafanyi Ukristo kuwa dini ya uongo, badala yake yanadhihirisha kuwa Biblia ni kitabu chenye ukweli, na wanaoamini yaliyoandikwa katika Biblia wanaifuata njia ya kweli.
 
Ni hatua nzuri sana, kila mtu aamini anachokiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…