Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Wewe ni mkristo wa dhehebu gani? Maana kuna madhehebu ya ukristo yaliyo na liturjia iliyo moja popote uendapo duniani, hata kama huongei lugha husika ukifika utasali kwa utaratibu ule ule
 
Dini ya Haki inayoruhusu Mzee wa miaka 56 kumuingilia kimwili mtoto wa miaka 9 kama mke halali wa ndoa,hii ni zaidi ya unyama hata jogoo hafanyi hivyo
Kwa tamaduni za watu wa zamani na miaka hiyo ilikuwa ni kawaida kwa wao kuoa wasichana wadogo

Iwe waarabu, waafrika na Wayahudi na hata Wazungu
King Richard || wa England alimuoa Isabelle wa France 1396 akiwa na umri wa miaka 6

Kama unavyoshangaa wewe sasa, na pia watakaokuja baadae wakisikia na nyie watoto mnatembea na mishangazi watashangaa pia
 
Hapa ni public forum, kila mada ni ya kujadiliwa na watu wote.

Si kanisani wala msikitini hapa.
Skia Nikwambie acha ujuaji wa ki puuzi, yaani ni sawa na mtu aulize kuhusu chakula kizuri cha kumpa afya alafu eti wewe una mshauri alale njaa kisa wewe huna hela , ajakwambia haamini mungu na ndio maana kataja ukristo na uislamu, sasa je wewe upo wapi hapo
 
Ndio maana unaitwa morning glory
 
Uongozi wa JF warudishe jukwaa la DINI
Hzi maada ziende kule wafia dini wakapambane huko kupunguza hizi kadhia|kero kila siku!
As a web designer, I discourage having too many forum categories to ensure easy navigation.
By the way, nini maana ya Habari na Hoja Mchanganyiko. Tuanzie hapo kwanza 🙂
 
Jamaa ni li kristu na sio Mkristo. Tena si ajabu ulikuwa mkatoriki maana ndio wapigwao hata na manabii wa uongo. Huwezi ukawa wa Kristo ukahamia usabato, ukatoriki, uislamu au shahidi wa jehova.
 
Acha uongo bibilia si maneno ya mungu, hayo ni maneno ya Paulo kwa asilimia kubwa sna, alafu huo ukristo wako nao ni mchongo tu
 
Unakuja unapiga kelele za ukristu ukristu, ukristu ni nini??
Kama bado Kuna mtu anakaa kwa kristo sababu tu amezaliwa kamkuta kristo kwa baba na mama yake. Yeye mwenyewe Hana kristo ndani yake. Bado anasafari ndefu kama wewe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…