Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Kwani Ukristo na Uislamu hapa JF hauhojiwi?
Wa ku hoji ni hao waislamu na wakristo wenyewe na sio wewe mpgani, kwa kifupi wewe upo mbali saaaana na hao watu, au hapo huja elewa hilo fumbo??, chakata hiyo
 
Wa ku hoji ni hao waislamu na wakristo wenyewe na sio wewe mpgani, kwa kifupi wewe upo mbali saaaana na hao watu, au hapo huja elewa hilo fumbo??, chakata hiyo
Kwanza kabisa mimi si mpagani.

Ila wewe hujui hilo.

Kwa sababu wewe ni mjinga.
 
Morning Glory1
Pole sana mkuu.
Ni kweli kuna baadhi ya watu wanaojiita wakristo wanafanya vitu ambavyo sio.
Lakini wewe kuacha kwenda kanisani au kuacha ukristo kwa sababu ya makosa ya watu haumkomoi mtu yoyote,unajikomoa
Ukisoma biblia kwa utulivu utaelewa katika ukristo hatuangalii watu kama role model,Role model wetu ni mmoja tu Yesu Kristo.
Ukisema kuna mtu anasema ameokoka na anatenda dhambi hivyo unahama kanisa kwa sababu yake haina logic kabisa.Na ukisoma biblia vizuri utajua kwamba hao wanaoogesha watu madhabahuni hawamjui Kristo.
Its not rocket science,just read your bible and you will know who is what and what is not making sense from reading about Jesus in the scriptures.
Haimaanishi pia kwamba anayemuamini Yesu hatakosea ,hivyo ukifuatisha makosa ya watu ili kuprove kama wana Mungu au hawana utapotea.
Kiufupi kama unatafuta uzima wa milele/msamaha wa dhambi wa milele/wokovu kaa ukifahamu kwamba unapatikana kwa kumwamini Yesu Kristo peke yake,nje na hapo kaa ukifahamu kwamba ni kupotea.
Nikutakie usiku mwema mkuu.
 
Huyo kwa hadithi za uongo ni noma
 
Thibitisha kwa maandiko
Hoja ya kuwa mtu anaye acha uislamu auliwe huo ni mkono wa wachezea uislamu...ushahidi upo wazi ndani ya uislamu ndiyo maana waislamu mambo leo (waisiharamu) walio wanafiki awathubutu kuongelea huo mkono ulio dhahiri...ila kuna Uzi hapa JF kuna muislamu mmoja alithibitisha kuwa huo ni mkono wa wachezea uislamu na hakatoa fafanuzi kamili zilizo nyoka kabisa ....moja ya fafanuzi ni kuwa Muhammad mwenyewe aliingia mkataba na maasim7 wake kuwa atakaye kuwa muislamu na awe na atakaye kuacha uislamu na a ache... ...mara nyingi katika uislamu wanapo gundua kuchezewa kwa uislamu wao wana angalia maslai wakiona kuchezewa huko kuna wakomesha wanao wahita wakafiri basi wanakuunga huko kuchezewa.
 
Sasa hapo tatizo ni nini au unadhani hayo maandiko yanapingana 😁
 
May the Lord forgive and give his holy spirity to inspire you so you may know the truth that will set you free🙏 Yohana 17:3
 
Kwa utabiri wa Biblia kwamba watatokea manabii wa uongo katikati yetu, huo pekee ulipaswa kukudhihirishia kwamba Ukristo ni dini ya kweli.

Tatizo hamsomi biblia wenyewe mnasubiri kuangalia mahubiri YouTube. Na mtakimbia sana mkifikiri mnakoelekea ni salama, kumbe huko ndo hata kipofu anayaona mazonge yake. Kunatisha
 
Hiyo ndio ipo hivyo wala hakuna aliyechezea
"Atakayebadilisha Dini yake(Uislamu) muuweni." [Al-Bukhaariy]

Ikiwa murtad anatangaza waziwazi na anachochea wengine dhidi ya Uislamu, hukumu ya kifo inapaswa kutekelezwa na dola ya Kiislamu baada ya kumpa muda wa kutubu.
Ikiwa mtu ameritadi kimyakimya na hajafanya uasi wa wazi, basi hukumu inakuwa kati yake na Allah, na hana haja ya kuadhibiwa na wanadamu.
 
Embu kataa Aya maandiko ya wabusu jiwe

  • Sanamu jiwe unalolisujudi kila siku lisome kazi zake, kALIGUSE jiwe likusamehe dhambi 😂😂😂
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
    • Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
    • Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
 
Wote waliofanya hayo ni wabakaji kama walivyo wabakaji wengine wanalala na watoto hata wa miezi miwili
 
Hukuwahi kuwa Mkristo! Huenda wewe ni Muislamu tu au Mkristo wa Dini au wa Jina!
Mkristo wa Kweli aliyemwamini Yesu Kristo na kuokolewa yuko Nuruni,(Yohana8:12) na (Yohana14:6)
Wala haweźi kupotea kwa kuwa anakuwa mikononi mwa Mungu Baba na Yesu Kristo,(Yohana10:26-30)
Uslamu ni Njia ya kwenda Upotevuni (Jehenamu)-Mathayo7:13
Bahati nzuri hata kwa imani ya Uislamu kila Mwislamu amehukumiwa kwenda Jehenamu,Q49:6 Q10:102 Q19:71
Naona umedanganywa na Mashehe kuwa unaenda kupata mizigo peponi!
 

Attachments

  • MASKINI WA PEPONI ATAKUWA MIZIGO 40__SHEIKH KIPOZEO(360P).mp4
    1.6 MB
wewe sema ni Muislamu tu, nani amekuambia Mungu alianzisha dini? wewe ishi maisha ya kumpendeza Mungu kulingana na imani yako, nani alikuambia tutahukumiwa kutokana na dini zetu?, hiyo unayosema ni dini ya haki wameruhusiwa kuua anayehama kutoka dini yao sasa hiyo ndio unyaoita haki?
 
Acha uongo mtume kamuoa Aisha akiwa na miaka 6 na akaànza kumbaka akiwa na miaka 9 ni ukatili ulioje hakana tofauti na wabakaji WA Leo wanao baka tu toto haijalishi ni uingereza au Amerika
 
Unasifia Ugaidi wa mudi

Mudi alikuwa muuaji ndio maana anasema muombeeni madhambi yake yapungue ,alikuwa mbakaji ,muuaji na mporaji Mali za mayatima
 
Religion is man made.
Christianity is not a religion. It is a relationship with God through Jesus, it is the way of truth and life through Jesus Christ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…