Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Kwa hiyo mtu kuitwa muislamu ndiyo kuwa mtakatifu au kuwa hauna dhambi ? Nikisema waislamu awatumii akili sija kosea


haya ndiyo yale ya wapumbavu wanaodhani kuwa kama duniani kusipo kuwa na dini nyingine isipokuwa dini yake basi dhambi isinge kuwepo watu wote wange kwenda peponi ....wapumbavu tumieni akili hakuna dini ambayo ukiwa ndani yake basi dhambi haiwezi kukupata... sasa hiyo hukumu ya muhammad ni uhuni tu, maana hata wasio waislam wanaweza kuchochea wengine dhidi ya uislamu .....mungu uhukumu watu adhabu kwa sababu ya dhambi aijalishi dini gani ambayo ambayo mtu yupo ...sasa hiyo hukumu ya muhammad ni yakiuni kwa sababu ana ukumiwa mtu kwa sababu tu katoka Uislamu wakati ndani ya uislamu dhambi zimetamalaki ....kwa yoyote mwenye qkili ya kupambanua haki na batili hapo tu anaweza kujua kuwa Muhammad ni mtume feki ...UKIONA MAFUNDISHO YOYOTE YANAYO DAIWA NI DINI YANAYO HUKUMU WENGINE NJE YA MISINGI YA DHAMBI BASI JUA MOJA KWA MOJA HIYO DINI NI MALI HALALI YA IBILISI SHETANI...Mfano mwizi muislamu anapo kuwa muislamu na mwizi huyo ni bora kuliko mwizi asiye muiskamu ?je malaya muislamu ni bora kuliko malaya asiye muislamu ...shoga muislamu ni bora kuliko shoga asiye muislamu ?😁😁😁😁nikisema uislamu ni upumbavu mwingine duniani sijakosea ndiyo maana waislamu wanalalamika wakisikia choko mwenye jina la kiislamu kaenda kanisani ....utasikia wanasema huyu choko(shoga) mpumbavu sana kwanini kaanza kwenda kanisani wakati yeye ni muislamu..hivyo waislamu wanalilia choko lao libaki misikitini🙄🙄🙄🙄🙄
 
Ila waumini wa dini hiyo wanatumia nguvu kubwa kumtetea Mungu wao 🤣🤣
Na Mungu wa kweli hatetewi na mwanadamu kiumbe alichokiumba mwenyewe kinamtetea vipi??? Mungu wa kweli hujitetea mwenyewe kwa vitendo, akisema anashusha moto unashuka. Hili swala la kusema unamtetea Mungu au unampigania Mungu ni uongo mtupu.
 
Kwa staili hii ya askofu kulamba ulimi wa kwenzake hadharani hata mimi ningehama dini hamna dini hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Ukija kupata akili ndo utajua hata hiyo unayoiita dini ya haki na yenyewe ni ubatili tu. Baki ukiamini Mungu yupo na siyo huo usanii w kitu kinaitwa dini.
 
Kwanza kabisa mimi si mpagani.

Ila wewe hujui hilo.

Kwa sababu wewe ni mjinga.
Kama siyo mpagani je wewe ni mkristo au ni muislamu?, kama haupo hapo basi wewe ni mpumbavu kila unapohema, kila unapongea, kila unapo kula, kila una ona.
 
Sasa kwanini kuwe na maneno ya kiarabu ambayo huyaelewi na bado unaamini! Huoni kuwa ni utapeli huo?
 
Kwanin dini yenu inapendwa sana majini na mashetani inamaana ameruhusu ilo kwenye dini bora ?
 
Kama siyo mpagani je wewe ni mkristo au ni muislamu?, kama haupo hapo basi wewe ni mpumbavu kila unapohema, kila unapongea, kila unapo kula, kila una ona.
This logical fallacy is called ad hominem.

You obviously do not posses the requisite wattage to engage me. You do not know what a pagan is, yet you still blabber gibberish and pitter patter with petty pugilism.

I am placing you in my ignore list to spare the forum the indignity of Kiranga matching intelligence with an incurious ignoramus.

From here onwards, I will not see your posts.
 
Asili ya majini ukurasa WA 20.

shetani kasilimishwa na mtume muhamad s.a.w .

Then mtu aniambie nikue muisilamu ....I'nna lilahy' ...

 
ASILI YA UISLAMU NA QURAN NI SHETANI

Katika sehemu zilizotangulia tuliona jinsi majini yalivyosomewa quran na mtume wao Mohanmad, yakaiamini.
Leo tunaangalia ni vipi shetani alikiwa mwuslamu kwa kutum(ia vitabu vya kiislamu.
Kitabu cha Asili ya Majini Uk 20
"Ni bahati mbaya kwamna Adamu na Hawa hawakufanya jitihada, kumwezesha shetani kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu..."
Ukisoma mbele utakuta kuwa Mohammad ndiye aliyemsilimisha.
Huku ndiko ilikotoka dini ya kiislamu, ukikuta waislamu wanamtetea shetani usishangae maana dini yenyewe ni ya shetani kabisa na bora wengine tufungwage tu kwa kuongea ukweli unaouma.
Quran inaendelea kuanika ushiriki wa shetani katika kuuimarisha uislam katika Suratul Adh-Dhaariyat 51:56
"Waa maa khalaqtul-jinna wal-insu illaliya-buduun"
(Sikuwaumba majini na watu ila wapate kuniabudu)
Mungu wa wakristo hataki ushirika na majini (Law 17:7)
Kwa mjibu wa vitabu vya kiislamu, tukisema uislamu ni dini ya Shetani hatuwaonei, ila tunataka mumwamini Mungu aliyeliweka jina lake duniani, yaani jina la Yesu.
Waislamu wanakuwa na mashetani mpaka vyooni, na mengine yanalala katika pua za wake zao, na waume zao, na watoto wao mpaka shuleni wanafanya vibaya kwa sababu shetani hajawahi kumwazia binadamu mema. Sasa wewe unafikia hatua ya kupanua pua alale humo, hakika utapata taabu sana. Haya si maneno yangu, bali vitabu vya dini vimethibitisha:
Al Muslims Hadith No238
"Huraira: Amesema Mtume (saw)
Mmoja wenu anapoamka usingizini basi asafishe pua yake mara tatu, kwa hakika shetani analala ktk tundu ya pua yake"
Sasa si mmeona wenyewe??
Kumbe sasa Shetani ndiye asili ya uislamu na quran.
Ushirikiano wa shetani na waislamu katika ibada tunaupata katika
Mkweli Mwaminifu Juzuu 1-2 Uk42 Hadith No27
Hapa kuna masuala ya shetani kuwapuliza waislamu wanaume, na waislamu wanawake wakubwa kwa wadogo.

Dawa ya kumkimbiza ni Yesu tu;
ndiyo maana mwislamu akiokoka wenye mapepo wanahaha
 
Wewe ni chuki na roho mbaya ndio zilizojaa Ktk kifua chako, kwanza hakuna (muumini)muislamu ambaye hana dhambi, na hakuna anayesema hivo na hayo ni maneno yenu nyinyi (wa kristo):kusema mmeokoka ili hali mnaishi, toka lini ukristo uka kemea ushoga hadharani?, papa alifanya hivo lini?, je Vatican kuna mashoga au hamna?, je Israel (Jerusalem) , tel aviv kuna mashoga au hamna?, na je wanakemea au wanafurahia?,

Njoo saud arabia hayo mambo yapo?, ikiwa wachezaji wa Saud pro league wanaishi mbali na mademu zao tena ktk hotel za ki talii (za wageni)au nchi jirani sembuse ushoga, na kwa taarifa yako nenda Saudi Arabia then kuwa mchawi then njoo utoe mrejesho hapa, huna hoja wewe
 
Kinachonishangaza ni wakristu kutoinadi dini yao wala kuilinganisha na dini zingine.Wao wako bize kuhubiri toba na kuiamini injili.
Huwezi mkuta Padre au Pastor analinganisha ukristu na dini zingine za kata!
Dini siyo chama cha siasa, why uinadi ili iweje? Imani hainadiwi bradha imani ni hiyari imani ni wewe mwenyewe, acha ujinga!
 
Adhana ikipgwa popote Leo nenda hapo usubr njee imamu alimalza jieleze umekuja kuslimu ,ili uwe kweny dini ya kwel,hata ukifa sku iyo iyo utakula menu na mtume SAW,utapewe zako bikra 72 ukawale na pembeni Kuna mito ya kila aina ya pombe ,,Cha kufia nn ndugu nenda ,wahi haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…