Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 557
- 858
Kwa wanadamu
Dini ni utaratibu wa mwanadamu
Dini ni utaratibu wa mwanadamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha haikatai tunakuona ikiwa na Nabii wako Tito 😝😝😝Hapana hili aliniambia Mmoja wa mabikira wa Mudi ambae yupo nae huko ulipopataja
Muhuni mudi boy akawaambia wapumbavu kuwa wao ndiyo uma bora mbinguni ila akawaambia hao hao wapumbavu kuwa katika uma huo bora kuliko nyuma zote hakuna atakaye fikia daraja ya NABII NA YA MITUME KISHA AKAWAAMBIA WAPIGE MAKOFI NA KUSHANGILIA KWA KUWA AWAWEZI TENA KUMCHA MUNGU NA KUFIKIA DARAYA ZA JUU HIVYO KWA HIYO WAO NDIYO UMA BORA ZAIDI...hapa kuna tusi kubwa sana je mwalimu bora ni yule anaye waambia wanafunzi wake kuwa kwa sababu yeye ni mwalimu bora basi hakuna tena mwanafunzi katika shule anayo fundisha atakaye pata division 2 wala 1...kisha wanafunzi kakashangilia sana kuwa huyo ni mwalimu bora 😇😇😇😇....tungo tata muhuni mudi boy kasepa na wapumbavu ...harafu kuna mpumbavu anasema mudi boy alikuwa nanajua mtume na nabii ni nini?...kituko mtume mkuu kuliko wote ajui logic ya daraja ya utume ni nini 👐 adriz FaizaFoxy Malaria 2 Bwana Utam k290 Mufti kuku The Infinity Rabbon
💩💩💩💩💩💩💩
HELL NI HAPA DUNIANI hapo maana yake duniani kwa sababu ya uovu..arafu unakuja nje ya comment soma hayo madini niliyo kufunulieni maana waislamu hamna akili ya kupambanua mambo
Tumieni akili ya kawaida tu. Unawezaje kufocus na Mungu tu pasi na kuufata mafundisho yake ?
Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia nini ?
Yaani unachokiandika haliwezekani katika uhalisia. Kaa kutafakari upya.
Sawa mimi nishakujua wewe una michongo ya ndio sio, michongo ya kinyumenyume ushaizoea, lakini angalia yasije yakakukuta, mwenzako yule shoga aliyejinadi South africa wameshamla kichwa alipokuwa kwenye gari lake aliloongwa na akina ManFilandu.😀😀😀😀😀Picha haikatai tunakuona ikiwa na Nabii wako Tito 😝😝😝
mbona unaleta hadithi na tunakuona ukiwa na mchungaji wako nabii tito au tuiweke picha ??Sawa mimi nishakujua wewe una michongo ya ndio sio, michongo ya kinyumenyume ushaizoea, lakini angalia yasije yakakukuta, mwenzako yule shoga aliyejinadi South africa wameshamla kichwa alipokuwa kwenye gari lake aliloongwa na akina ManFilandu.😀😀😀😀😀
Umedanganywa
Fuata ninacho fundisha mimi ...madhehebu maana yake ni hekalu la shetani aijalishi ni dini gani ...mtu yoyote aliyopo kwenye madhehebu ni mpumbavu moja kwa mojaMiswada sahihi
Wanazuoni wengi wa madhehebu na vikundi mbalimbali vya Kikristo wamethibitisha kuwa sehemu kubwa ya maandiko ya Biblia ina mashaka makubwa juu ya uhalisia wake.
Katika utangulizi wa Ngano za Mungu mwenye Mwili, Mtunzi ameandika yafuatayo:
"Katika karne ya kumi na tisa, Wakristo wa Kimagharibi walifanya marekebisho makubwa mawili ili kuitikia wito wa kupanuka kwa elimu ya wanadamu: imekubalika kuwa mwanadamu ni sehemu ya maumbile na ameibuka kuwa ni miongoni mwa wanamageuzi wa mfumo wa maisha duniani; imekubalika kuwa vitabu vya Biblia vimeandikwa na watu tofauti tofauti katika matukio tofauti tofauti na haviwezi kukubaliwa kuwa ni utunzi wa Mungu wa neno kwa neno."
Katika gazeti la kimataifa la, Newsweek, lililobeba makala yenye kichwa 'Oo Bwana, Nani Aliyeandika Dua hii?'
kikosi cha wanatiolojia kutoka katika dhehebu kuu la kiporestanti, pamoja na Wasomi muhimu wa Biblia wa Kikatoliki nchini Marekani, baada ya ukaguzi wa kina wa miswada ya mwanzo kabisa ya Agano Jipya, wamehitimisha kuwa maneno pekee ya "Dua ya Bwana" ambayo yanaweza kunasibishwa barabara na Yesu Kristo ni "baba".
Na hilo, ni kwa mujibu wa wasomi hao wa kanisa, maneno yote yaliyokuja baada ya ibara ya kwanza, "Baba yetu", ambayo ni dua muhimu sana ya Kikristo, yaliongezwa karne nyingi na waandishi wa kanisa walionukuu miswada ya mwanzoni ya Injili.
Shirika la U.S News & World Report, linanukuu zaidi kuwa, kikundi cha wasomi kilisema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya maneno yaliyoandikwa katika Injili kumhusu Yesu huenda ni ya kubuniwa.
Miongoni mwa hayo likiwemo neno la Ekaristi ya Yesu katika Karamu ya Mwisho ("Chukua, kula. Huu ni mwili wangu…") na kila neno aliloambiwa kuwa amelitamka toka msalabani.
Ukristo sio nadharia ni maisha. Hivyo sio jambo la kubishaniaUnaandika kwa kujifurahisha au unaleta utani ?
Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwenye kuitafuta akabaki kuwa Mkristo baada ya kuujua Ukristo. Huyo mtu hakuna.
Allah ni nani?UISLAMU sio dini ya Waarabu, bali ni Dini ya Allah.
Ndio maana Qur'an inatuambia hakika mbora mbele ya Allah ni yule Machungu.
Lete Aya Yesu kasema maneno hayoFuata ninacho fundisha mimi ...madhehebu maana yake ni hekalu la shetani aijalishi ni dini gani ...mtu yoyote aliyopo kwenye madhehebu ni mpumbavu moja kwa moja
Lugha ya asili ni ya kiarabu au hujui biblia imeandikwa nini ?Allah ni nani?
Tamka kwa lugha ya asili yako achana na kiarabu
Yesu alisema ufalme ulio farakana hauta simama madhehebu ni mafarakano.Lete Aya Yesu kasema maneno hayo
Nasema tena, Mungu hahitaji watu wa kupigania dini yake. Labda huyo Allah ndo mwenye upuuzi huo.Mungu wa hivyo hayupo. Mola amewashachagua wawakilishi na huleta waja miongoni mwetu wa kuipigania dini yake. Huu ndio mwenenendo wa Mola wetu tangu zamani.
Hata leto hii tuliamua sote tuachane na dini ya UISLAMU, hakika hapungukiwi na chochote wala hakiongezeki chochote, bali Allah huwaleta waja wake wengine kwa ajili ya kuipigania dini yake.
Hao mitume wote aliwachagua na kuwatuma kwa ajili hiyo. Ndio maana akawatumia kina Yesu, na mitume wengine.
Hawa kenge awaji kujibu au wanajifanya awaoni hii comment 👉🐍🐍Muhuni mudi boy akawaambia wapumbavu kuwa wao ndiyo uma bora mbinguni ila akawaambia hao hao wapumbavu kuwa katika uma huo bora kuliko nyuma zote hakuna atakaye fikia daraja ya NABII NA YA MITUME KISHA AKAWAAMBIA WAPIGE MAKOFI NA KUSHANGILIA KWA KUWA AWAWEZI TENA KUMCHA MUNGU NA KUFIKIA DARAYA ZA JUU HIVYO KWA HIYO WAO NDIYO UMA BORA ZAIDI...hapa kuna tusi kubwa sana je mwalimu bora ni yule anaye waambia wanafunzi wake kuwa kwa sababu yeye ni mwalimu bora basi hakuna tena mwanafunzi katika shule anayo fundisha atakaye pata division 2 wala 1...kisha wanafunzi kakashangilia sana kuwa huyo ni mwalimu bora 😇😇😇😇....tungo tata muhuni mudi boy kasepa na wapumbavu ...harafu kuna mpumbavu anasema mudi boy alikuwa nanajua mtume na nabii ni nini?...kituko mtume mkuu kuliko wote ajui logic ya daraja ya utume ni nini 👐 adriz FaizaFoxy Malaria 2 Bwana Utam k290 Mufti kuku The Infinity Rabbon Jagina
💩💩💩💩💩💩💩
Ebu weka mami Jagina wa ukweeeeee tuionembona unaleta hadithi na tunakuona ukiwa na mchungaji wako nabii tito au tuiweke picha ??
Ndugu yangu, Lengo ni kwenda mbinguni, dini ni mipango ya wanadamu tu kumtafuta Mungu. Acha kufatilia na kupelekwa na makosa ya watu, hao hukumu itatoka kulingana na mabaya yao.Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Umedanganywa
Kama Mungu amejipambanua kua yeye dini yake fulani au kuna mtu anahubiri kuwa dini ya Mungu ni hii basi binafsi nitakua na mashaka sana katika hali hiyo.
Dini ni zaidi ya unavyoielewa... Dhamira halisi ya dini ni kinyume chake na vile unavyoamini.
Kama unaamini usiku unaleta giza basi ni kinyume chake.
Katika dini wajanja wameigizia ajenda ya kumthibiti binadamu atumike au. Asitumie kabisa au atumie uwezo wake chini ya kiwango.