Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Muhuni mudi boy akawaambia wapumbavu kuwa wao ndiyo uma bora mbinguni ila akawaambia hao hao wapumbavu kuwa katika uma huo bora kuliko nyuma zote hakuna atakaye fikia daraja ya NABII NA YA MITUME KISHA AKAWAAMBIA WAPIGE MAKOFI NA KUSHANGILIA KWA KUWA AWAWEZI TENA KUMCHA MUNGU NA KUFIKIA DARAYA ZA JUU HIVYO KWA HIYO WAO NDIYO UMA BORA ZAIDI...hapa kuna tusi kubwa sana je mwalimu bora ni yule anaye waambia wanafunzi wake kuwa kwa sababu yeye ni mwalimu bora basi hakuna tena mwanafunzi katika shule anayo fundisha atakaye pata division 2 wala 1...kisha wanafunzi kakashangilia sana kuwa huyo ni mwalimu bora 😇😇😇😇....tungo tata muhuni mudi boy kasepa na wapumbavu ...harafu kuna mpumbavu anasema mudi boy alikuwa nanajua mtume na nabii ni nini?...kituko mtume mkuu kuliko wote ajui logic ya daraja ya utume ni nini 👐 adriz FaizaFoxy Malaria 2 Bwana Utam k290 Mufti kuku The Infinity Rabbon
💩💩💩💩💩💩💩

Anafanya nini motoni?

maxresdefault.jpg
 
Kama Mungu amejipambanua kua yeye dini yake fulani au kuna mtu anahubiri kuwa dini ya Mungu ni hii basi binafsi nitakua na mashaka sana katika hali hiyo.

Dini ni zaidi ya unavyoielewa... Dhamira halisi ya dini ni kinyume chake na vile unavyoamini.

Kama unaamini usiku unaleta giza basi ni kinyume chake.

Katika dini wajanja wameigizia ajenda ya kumthibiti binadamu atumike au. Asitumie kabisa au atumie uwezo wake chini ya kiwango.

Kuna watu wana access na ujuzi na maarifa ambayo mtu akiyabobea anakuwa na uwezo wa kumchambua na kummenya binadamu kama karanga.

Ili kudhibiti binadamu juu ya uwezo wake, kwanza walimtenganisha na hayo maarifa kwa kuyaficha mahala (bottom secret)... huku Africa walitumaliza uwezo wetu kipindi cha ukoloni (jiulize kwanini waliwawinda machief licha ya kuwamudu bado waliondoka na viungo mafuvu why?

Pili wakacheza na ufahamu wa binadamu (deep psychology) kupitia dini na falsafa(idiology) mbalimbali.

Tatu wakatumia nguvu baada ya kukukata connection ya mwili wako na uwezo wako wa kiungu wakaona haitoshi wakaona huu mwili, mbavumbavu hizi zitatusumbua wakaunda mfumo wa serikali na vyombo vyake vya dola.

Mungu na manabii wake hawana shida shida iko kwenye Dini (Taasi ya dini).

Kumbuka kuna manabii na mitume wa uongo.

Mwisho Mungu ni kila kitu na kila kitu ni Mungu

Mwisho kabisa Misimbo na hekima yaliyoiacha Yesu haikua yakibinadamu hakika yeye ni taa...

Kupitia imani unaweza ukabypass hayo maknowledge yaliyofanya siri... Yule atakae tumia huo ujuzi na maarifa ya siri na yule atakaye tumia imani kwa usahihi wake, wote watapata matokeo sawa.
Tumieni akili ya kawaida tu. Unawezaje kufocus na Mungu tu pasi na kuufata mafundisho yake ?

Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia nini ?

Yaani unachokiandika haliwezekani katika uhalisia. Kaa kutafakari upya.
 
Picha haikatai tunakuona ikiwa na Nabii wako Tito 😝😝😝
Sawa mimi nishakujua wewe una michongo ya ndio sio, michongo ya kinyumenyume ushaizoea, lakini angalia yasije yakakukuta, mwenzako yule shoga aliyejinadi South africa wameshamla kichwa alipokuwa kwenye gari lake aliloongwa na akina ManFilandu.😀😀😀😀😀
 
mbona unaleta hadithi na tunakuona ukiwa na mchungaji wako nabii tito au tuiweke picha ??
 
Umedanganywa

Miswada sahihi

Wanazuoni wengi wa madhehebu na vikundi mbalimbali vya Kikristo wamethibitisha kuwa sehemu kubwa ya maandiko ya Biblia ina mashaka makubwa juu ya uhalisia wake.

Katika utangulizi wa Ngano za Mungu mwenye Mwili, Mtunzi ameandika yafuatayo:

"Katika karne ya kumi na tisa, Wakristo wa Kimagharibi walifanya marekebisho makubwa mawili ili kuitikia wito wa kupanuka kwa elimu ya wanadamu: imekubalika kuwa mwanadamu ni sehemu ya maumbile na ameibuka kuwa ni miongoni mwa wanamageuzi wa mfumo wa maisha duniani; imekubalika kuwa vitabu vya Biblia vimeandikwa na watu tofauti tofauti katika matukio tofauti tofauti na haviwezi kukubaliwa kuwa ni utunzi wa Mungu wa neno kwa neno."

Katika gazeti la kimataifa la, Newsweek, lililobeba makala yenye kichwa 'Oo Bwana, Nani Aliyeandika Dua hii?'

kikosi cha wanatiolojia kutoka katika dhehebu kuu la kiporestanti, pamoja na Wasomi muhimu wa Biblia wa Kikatoliki nchini Marekani, baada ya ukaguzi wa kina wa miswada ya mwanzo kabisa ya Agano Jipya, wamehitimisha kuwa maneno pekee ya "Dua ya Bwana" ambayo yanaweza kunasibishwa barabara na Yesu Kristo ni "baba".

Na hilo, ni kwa mujibu wa wasomi hao wa kanisa, maneno yote yaliyokuja baada ya ibara ya kwanza, "Baba yetu", ambayo ni dua muhimu sana ya Kikristo, yaliongezwa karne nyingi na waandishi wa kanisa walionukuu miswada ya mwanzoni ya Injili.

Shirika la U.S News & World Report, linanukuu zaidi kuwa, kikundi cha wasomi kilisema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya maneno yaliyoandikwa katika Injili kumhusu Yesu huenda ni ya kubuniwa.

Miongoni mwa hayo likiwemo neno la Ekaristi ya Yesu katika Karamu ya Mwisho ("Chukua, kula. Huu ni mwili wangu…") na kila neno aliloambiwa kuwa amelitamka toka msalabani.
 
Fuata ninacho fundisha mimi ...madhehebu maana yake ni hekalu la shetani aijalishi ni dini gani ...mtu yoyote aliyopo kwenye madhehebu ni mpumbavu moja kwa moja
 
Unaandika kwa kujifurahisha au unaleta utani ?

Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwenye kuitafuta akabaki kuwa Mkristo baada ya kuujua Ukristo. Huyo mtu hakuna.
Ukristo sio nadharia ni maisha. Hivyo sio jambo la kubishania
 
UISLAMU sio dini ya Waarabu, bali ni Dini ya Allah.

Ndio maana Qur'an inatuambia hakika mbora mbele ya Allah ni yule Machungu.
Allah ni nani?

Tamka kwa lugha ya asili yako achana na kiarabu
 
Fuata ninacho fundisha mimi ...madhehebu maana yake ni hekalu la shetani aijalishi ni dini gani ...mtu yoyote aliyopo kwenye madhehebu ni mpumbavu moja kwa moja
Lete Aya Yesu kasema maneno hayo
 
Mungu wa hivyo hayupo. Mola amewashachagua wawakilishi na huleta waja miongoni mwetu wa kuipigania dini yake. Huu ndio mwenenendo wa Mola wetu tangu zamani.

Hata leto hii tuliamua sote tuachane na dini ya UISLAMU, hakika hapungukiwi na chochote wala hakiongezeki chochote, bali Allah huwaleta waja wake wengine kwa ajili ya kuipigania dini yake.

Hao mitume wote aliwachagua na kuwatuma kwa ajili hiyo. Ndio maana akawatumia kina Yesu, na mitume wengine.
Nasema tena, Mungu hahitaji watu wa kupigania dini yake. Labda huyo Allah ndo mwenye upuuzi huo.

Mungu muumba wa vyote yeye ameshatoa amri zake then we ufate usifate ni juu yako, sasa ahitaji watu wapiganie ni kwamba yeye peke yake hawezi?

Nyie mnapigania dini ya mtume feki mudi sio ya Mungu.
 
Muhuni mudi boy akawaambia wapumbavu kuwa wao ndiyo uma bora mbinguni ila akawaambia hao hao wapumbavu kuwa katika uma huo bora kuliko nyuma zote hakuna atakaye fikia daraja ya NABII NA YA MITUME KISHA AKAWAAMBIA WAPIGE MAKOFI NA KUSHANGILIA KWA KUWA AWAWEZI TENA KUMCHA MUNGU NA KUFIKIA DARAYA ZA JUU HIVYO KWA HIYO WAO NDIYO UMA BORA ZAIDI...hapa kuna tusi kubwa sana je mwalimu bora ni yule anaye waambia wanafunzi wake kuwa kwa sababu yeye ni mwalimu bora basi hakuna tena mwanafunzi katika shule anayo fundisha atakaye pata division 2 wala 1...kisha wanafunzi kakashangilia sana kuwa huyo ni mwalimu bora 😇😇😇😇....tungo tata muhuni mudi boy kasepa na wapumbavu ...harafu kuna mpumbavu anasema mudi boy alikuwa nanajua mtume na nabii ni nini?...kituko mtume mkuu kuliko wote ajui logic ya daraja ya utume ni nini 👐 adriz FaizaFoxy Malaria 2 Bwana Utam k290 Mufti kuku The Infinity Rabbon Jagina
💩💩💩💩💩💩💩
Hawa kenge awaji kujibu au wanajifanya awaoni hii comment 👉🐍🐍
 
Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki

Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.

Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!

Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.

Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake

Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu

Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri

Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Ndugu yangu, Lengo ni kwenda mbinguni, dini ni mipango ya wanadamu tu kumtafuta Mungu. Acha kufatilia na kupelekwa na makosa ya watu, hao hukumu itatoka kulingana na mabaya yao.
Kila kitu ukitaka kufanya kitakase Kwa Damu ya Yesu Kwa kusema tu, utakuja kuniambia.
 
Kama Mungu amejipambanua kua yeye dini yake fulani au kuna mtu anahubiri kuwa dini ya Mungu ni hii basi binafsi nitakua na mashaka sana katika hali hiyo.

Utakuwa na mashaka sababu ya ujinga wako na kutokutumia akili juu ya hicho unachokisikia. Mola wetu hapendi wavivu wa kufikiri na wanao kata tamaa katika rehma zake.

Kila kitu Allah alikiweka wazi ni wewe kuamua tu kufata haki au uiache haki, ndio maana kuna siku ya hukumu. Walio tenda mema watalipwa pepo na waliofanya uasi watalipwa moto.
Dini ni zaidi ya unavyoielewa... Dhamira halisi ya dini ni kinyume chake na vile unavyoamini.

Kama unaamini usiku unaleta giza basi ni kinyume chake.

Katika dini wajanja wameigizia ajenda ya kumthibiti binadamu atumike au. Asitumie kabisa au atumie uwezo wake chini ya kiwango.

Inaonekana hata maana ya dini huijui. Unayo yaandika wewe ni matokeo na hayo ni katika dini ambazo si za haki, ndio maana watu wanaweza kuingiza uongo na hila zao. Lakini Uislamu umebakia vile vile kama alivyo ufundisha Mtume, na ndio maana ukileta lako katika Uislamu lazima utaambiwa. Mtume alishasema yeyote atakaye leta jambo katika dini hii basi atarudishiwa mwenyewe, au kama alivyo sema Mtume.

Kingine Usiku hauleti mchana, Mchana ni Mchana na Usiku ni usiku.

Hili hakuna bali hizo ni stori zenu tu za vijiweni ambazo hazina ushahidi, mambo ambayo yamewekwa kuwadhibiti watu wasifikirie zaidi ya wanayo yaona ni hayo mambo ya burudani na michezo, mafilamu, mipira, tamthilia na magame. Mavitu ambyo yanamfanya mtu asifikirie kwanini ameumbwa na kwanini anaishi, je ameumbwa ili aishi tu halafu basi ?

Dini inahimiza watu wafikirie kwa usahihi. Acheni kusambaza uongo.
 
Back
Top Bottom