The silent smile
Senior Member
- Jul 17, 2025
- 124
- 206
Sipendi anavyotema mate kila wakati,but that's nature.Wote wanaua kikatili.Fisi yeye anaanza kula hata kabla hajaua .
Hata yeye hakupendi!!!,,,msogelee uone atavyokugegeda!!!!Helo JF!
Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.
Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
Yupo huko Indonesia kwenye visiwa vya komodo,kule wanamtambua kama mamba wa ardhiniHelo JF!
Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.
Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
Haswa wanaobugia ugoro .... Wamasai na wajinga wajinga walio bobea kwenye ugoro😤😤😤🤣🤣🤪Mbona kuna watu huwa wanatema mate kila wakat
Anaitwa Monotor LizardHelo JF!
Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha makala hizo, aaahh hapo hata njaa sitoihisi. NAPENDA SANA.
Ila kiukweli ktk wanyama wote, huyu mnyama binafsi simpendi asee, yaan kwanza lenyewe lina sura mbaya na roho yake ni mbaya vilevile.
Yeye yupo kwenye kundi la Predator lakini anaua kikatili sana, hana ustaarabu kabisa.
Ni huyu anayeitwa KOMODO DRAGON
Nikajua nguruwe..!!Helo JF!

Kwenye kuuwa vibaya, si huyo tu, wanyama wawalao wanyama wenzao wote wanauwa vibaya...!! Fikiria jinsi mbwa mwitu wanavyomgawanaga swala akiwa ALIVE..!!Anaua vibaya sana ukikuta anamshambulia mbuzi utamuonea huruma.
Kwenye kuuwa vibaya, si huyo tu, wanyama wawalao wanyama wenzao wote wanauwa vibaya...!! Fikiria jinsi mbwa mwitu wanavyomgawanaga swala akiwa ALIVE..!!
Sipendi anavyotema mate kila wakati,but that's nature.Wote wanaua kikatili.Fisi yeye anaanza kula hata kabla hajaua .
Ukiwaona mamba, fisi , mbwa mwitu, wolves, tai, wakila utaona kuwa kumbe wanyama jamii ya paka tu, chui,simba , duma ndio wanaokula wanyama kistaarabu....wanaua kabla ya kula ila wengine wanawala wakiwa haiKuna fisi na mbwa mwitu hao Huwa hawa subiri kuwa wao wakikamata windo wanaanza kula
Kutazama na kufatilia maisha ya wanyama ni somo zuri sana,
Napenda sana busara za Simba katika kuwinda
Simba huwa anaua kwanza ndio anakula at least yeye ila mbwa mwitu wao mda wa kuua kwanza hawana wanaanza kula utakufa ukitaka wakiamua wanaanza kula vya tumboni mpaka mnyama aje afe anakua kateseka sana.Kwenye kuuwa vibaya, si huyo tu, wanyama wawalao wanyama wenzao wote wanauwa vibaya...!! Fikiria jinsi mbwa mwitu wanavyomgawanaga swala akiwa ALIVE..!!
Haha anaanza na pumbu au sio.Ukiwaona mamba, fish, mbwa mwitu, wolves, tai, wakila utaona kuwa kumbe wanyama jamii ya paka tu, chui,simba , duma ndio wanaokula wanyama kistaarabu....wanaua kabla ya kula ila wengine wanawala wakiwa hai
Fisi anamla nyati aliyekwama kwenye tope, anaanza kula pumbu taratibu
Mkuu uingie kundi la mbwa mwitu a fisi? Ipi afadhali 😀Kuna fisi na mbwa mwitu hao Huwa hawa subiri kuwa wao wakikamata windo wanaanza kula
Kutazama na kufatilia maisha ya wanyama ni somo zuri sana,
Napenda sana busara za Simba katika kuwinda
Hata yeye hakupendi mkuu. Nimeona kwenye JF ya wanyama kaweka uzi wa kukuchukiaHelo JF!