BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
kibosho
ahaaa!..mana kuna mdada aliniambia ni mchaga...nilipomuuliza wa wap?akapotezea!...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kibosho
Mimi mgagagigikoko.
ahaaa!..mana kuna mdada aliniambia ni mchaga...nilipomuuliza wa wap?akapotezea!...
Kumbe uchaga dili eeh?Huyo co mchaga alijicngizia tu!
mambo mpenz.
halafu we unapenda mambo ya koni. Nikila yako ujue naimaliza sikuachii hata kidogo.
hili lazima nimweleze braza...too much!..hapa shem sina!...
Nimeona NN,
Mwajuma ni hatari... Kaa nae mbali manake yake ya azam haimtoshi anataka na ya kwako...lol
halafu we unapenda mambo ya koni. Nikila yako ujue naimaliza sikuachii hata kidogo.
duh, unang'oa hadi mzizi?
Au unakula mshikio?
Hahahaha! Swahibaaaaaaaaaa!
Mke,
hii imenistua! Tena sio mie tu! Hata BAGAH, bht, SL, ndo imewashtua zaidi !
Naiombea maelezo ya kina !
Umefikaje mbali kiivo ?
Bila soni wala nini! Makavu kabsaaa !
usihofu mme,.... Hao wachokozi sana. Wanataka kutugombanisha. Lol