Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

halafu we unapenda mambo ya koni. Nikila yako ujue naimaliza sikuachii hata kidogo.

Mke,
hii imenistua! Tena sio mie tu! Hata BAGAH, bht, SL, ndo imewashtua zaidi !
Naiombea maelezo ya kina !
Umefikaje mbali kiivo ?
Bila soni wala nini! Makavu kabsaaa !
 
hili lazima nimweleze braza...too much!..hapa shem sina!...

BAGAH!
Ni kweli ! Nami nimeiona!
Haikukaa sawa kabisaaa!
Nilipoipitia nikadhani miwani inanichanganyia habari, nikaivua matokeo yakawa ni yaleyale ya ninachokiona!
Nini maoni yako ?
Hatuchoti maji kwenye ndoo iliyotoboka hapa ?
 
Mke,
hii imenistua! Tena sio mie tu! Hata BAGAH, bht, SL, ndo imewashtua zaidi !
Naiombea maelezo ya kina !
Umefikaje mbali kiivo ?
Bila soni wala nini! Makavu kabsaaa !

usihofu mme,.... Hao wachokozi sana. Wanataka kutugombanisha. Lol
 
Back
Top Bottom