Taarabu, singeli ni nyimbo zinazosikilizwa na Watu ambao ukiwatazama vizuri kisaikolojia hawana tofauti sana na Mashabiki kindakindaki wa Utopolo na Makolokolo.KAMA WEWE NI DUME BASI UNATIA AIBU.
KAMA NAKUONA VILE UNAJISHEBEDUA NA VIDOLE JUU UKIWA UNASIKLIZA TAARAB KWWNYE SUBWOOFER YAKO UKIWA GETONI
🤣🤣🤣🤣🤣Taarabu, singeli ni nyimbo zinazosikilizwa na Watu ambao ukiwatazama vizuri kisaikolojia hawana tofauti sana na Mashabiki kindakindaki wa Utopolo na Makolokolo.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Daaah aiseeee....Hapa Poor Brain ukikaza unaweza kujipigia mtoa mada.
taarabu za kina Juma balo,,,,,analalamika pete imempotea!!Sasahivi hakuna nzuri tafuta za zamani
Sio zote ...taarabu baadhi zina jumbe nzuriSijawahi kuuelewa huo mziki, ngoma ina dakika 10 ni michambo tu
Kusema wewe simu yako haina taarabu kabisaSijawahi kuuelewa huo mziki, ngoma ina dakika 10 ni michambo tu
Bongo flavour ni taarab iliochangamka,KAMA WEWE NI DUME BASI UNATIA AIBU.
KAMA NAKUONA VILE UNAJISHEBEDUA NA VIDOLE JUU UKIWA UNASIKLIZA TAARAB KWWNYE SUBWOOFER YAKO UKIWA GETONI