Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
😂Hapa Poor Brain ukikaza unaweza kujipigia mtoa mada.
ushaanza maneno ya taarabu sasa ulipost ili uchangie mwenyewe?We mshamba tu, nakuona kila nyuz zangu unaleta ukinga.
Sina kampeni yeyote ile ila unazingua na mada zako zimekaa kimrengo wa kusapoti ushoga.we s innocent, ni miongoni mnaoendesha kampeni ya kuniita shoga, ndio maana ukafurahia comment ya mjinga mmoja hapo.
Michambo ni hio modern taarab, ila ni mziki pekee ambao ulikua unaitambulisha Tanzania.Sijawahi kuuelewa huo mziki, ngoma ina dakika 10 ni michambo tu
Sina kampeni yeyote ile ila unazingua na mada zako zimekaa kimrengo wa kusapoti ushoga.
Michambo ni hio modern taarab, ila ni mziki pekee ambao ulikua unaitambulisha Tanzania.
Muasisi wa taarab huku kwetu anaitwa siti binti Saad, Columbia Records ile studio ya Marekani walijenga Tawi Zanzibar kwa ajili yake. Aliuza Santuri 72,000 world wide so far hakuna msanii yoyote Tanzania mwenye ubavu kama huyu bi dada. Bi kidude career yake yote ni ku-copy nyimbo za Siti ukisikia nyimbo kama Yalaiti, Muhogo wa jang'ombe, kijiti, Alaminadura etc zinatoka kwake, mpaka leo zinafanyiwa cover na wasanii wa bongo flavour, zimeimbwa zaidi ya miaka 100 iliopita.
Sikiliza Taarabu za zamani utaona wasanii wa sasa kama wanacheza tu.
Kijiti ya siti
View: https://m.youtube.com/watch?v=sVo5hiS2y8Y&pp=ygUGS2lqaXRp
Ana mada zake za kujisifia uzuri nyingi tu humu jukwaani, hizo tabia mwanaume kamili hawezi kuwa nazo.Punga Hilo achana nalo. Juzi amejisifia yeye mzuri mpaka vidume vinamtongoza fesibuku
Akikukumbatia huwezi kumpiga busu mana ziwa linawatenganisha 🔥Daaah aiseeee....
Alafu huwa nikiskia neno tarabu najiuliza kwanini waimba tarabu wengi wana zile T3 za kuitwa mishangazi..
Maana unakuta lishangazi la haja kama isha hvi au yule vuvuzela aiseee ana bonge ziwa yaani wewe akikukumbatia aiseeeee
Vijana wana left Sana group nimekutana na Classmate wangu amevaa chupi zile za kike kabinua ****** juu katika Swimming.Ana mada zake za kujisifia uzuri nyingi tu humu jukwaani, hizo tabia mwanaume kamili hawezi kuwa nazo.
Ni huzuni mkuu sijui shida ni niniVijana wana left Sana group nimekutana na Classmate wangu amevaa chupi zile za kike kabinua ****** juu katika Swimming.
Nimetfakari nimekosa majibu
Just imagine unapata jimama moja jiimba tarabu linakulea lea an just imagine linakudekeza et...Akikukumbatia huwezi kumpiga busu mana ziwa linawatenganisha 🔥
Michambo ni hio modern taarab, ila ni mziki pekee ambao ulikua unaitambulisha Tanzania.
Muasisi wa taarab huku kwetu anaitwa siti binti Saad, Columbia Records ile studio ya Marekani walijenga Tawi Zanzibar kwa ajili yake. Aliuza Santuri 72,000 world wide so far hakuna msanii yoyote Tanzania mwenye ubavu kama huyu bi dada. Bi kidude career yake yote ni ku-copy nyimbo za Siti ukisikia nyimbo kama Yalaiti, Muhogo wa jang'ombe, kijiti, Alaminadura etc zinatoka kwake, mpaka leo zinafanyiwa cover na wasanii wa bongo flavour, zimeimbwa zaidi ya miaka 100 iliopita.
Sikiliza Taarabu za zamani utaona wasanii wa sasa kama wanacheza tu.
Kijiti ya siti
View: https://m.youtube.com/watch?v=sVo5hiS2y8Y&pp=ygUGS2lqaXRp
Haina na hata sijawahi kua nayo tangu nimeanza kumiliki simu mwaka 98.Kusema wewe simu yako haina taarabu kabisa