KAMA WEWE NI DUME BASI UNATIA AIBU.
KAMA NAKUONA VILE UNAJISHEBEDUA NA VIDOLE JUU UKIWA UNASIKLIZA TAARAB KWWNYE SUBWOOFER YAKO UKIWA GETONI
Binadamu tumeumbwa tukiwa na tabia, mapenzi kwa vitu tofauti tofauti. Nami, nilikuwa ni shabiki sana wa TAARABU ZA MIAKA ILEEEEE!
Kule Burundi, kulikuwa na vikundi viwili, matata sana.SHANI, na JASMEEN. Kuna wimbo unaitwa 'PENDO KAZI YETU',ulikuwa unapendwa sana kupigwa kwenye vituo vyetu vya Radio enzi hizo.
Wakaja TOT na MUUNGANO kipindi fulani, wakaleta mapinduzi fulani, wakiwa wameanzisha ushindani fulani. Nyimbo zilizotamba sana, ni kama ZUMBU KUKU, KUKATALIWA KUBAYA, TX MPENZI, Y2K, GWIJI, EWE RAAZIZI ULIYEUMBIKA, NYAMA YA BATA, MAPENZI KATILI, SAMORA MACHEL, NAHODHA, NIPE RAHA MTOTO WA KITANZANIA NK.