Mimi ni mpenzi wa nyimbo za taarab, kwasasa naona kama imekufa

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Mara ya mwisho ku peak ilikua 2011, taarab ilikua juu sana. Ila baada ya pale naona imepotea, nina miaka mingi sijasikia hit song ya taarab.

Whyyyy, hizi amapuano sijui singeli sijawai zielewa hata.

Bring back taarab.👌👌

 
KAMA WEWE NI DUME BASI UNATIA AIBU.

KAMA NAKUONA VILE UNAJISHEBEDUA NA VIDOLE JUU UKIWA UNASIKLIZA TAARAB KWWNYE SUBWOOFER YAKO UKIWA GETONI
Taarabu, singeli ni nyimbo zinazosikilizwa na Watu ambao ukiwatazama vizuri kisaikolojia hawana tofauti sana na Mashabiki kindakindaki wa Utopolo na Makolokolo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mzee yusuf alikuwa king kweli kweli nakumbuka akipiga show hapa moro aise pale savoy tunajaa kwenda kubambia mishagaz....burudani za maisha hizo
Au unaenda pale trventine...jama i tarab ina mishangaz kweli kweli
 
Hapa Poor Brain ukikaza unaweza kujipigia mtoa mada.
Daaah aiseeee....
Alafu huwa nikiskia neno tarabu najiuliza kwanini waimba tarabu wengi wana zile T3 za kuitwa mishangazi..

Maana unakuta lishangazi la haja kama isha hvi au yule vuvuzela aiseee ana bonge ziwa yaani wewe akikukumbatia aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…