Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

Amesema mitandaoni sio sehemu ya kupata mume. Na amesema humu kwa sababu hum pia ni mtandaoni
Ebu rudi kamsome tena ndio uelewe vizuri, yeye kazungumzia humu Jf lakini wewe unamlisha maneno ya kuwa alizungumzia mitandao yote jambo ambalo si sahihi
 
Ebu rudi kamsome tena ndio uelewe vizuri, yeye kazungumzia humu Jf lakini wewe unamlisha maneno ya kuwa alizungumzia mitandao yote jambo ambalo si sahihi
Amesema mitandaoni sio sehemu sahihi ya kupata mwenza. Kwa hiyo Jf sio mtandao?
 
Kwani watu waliojiunga mitandaoni wanatoka wapi hasa hadi watofautishwe na walioko mtaani?
 
Kwani watu waliojiunga mitandaoni wanatoka wapi hasa hadi watofautishwe walioko mtaani na humu?
Soma uelewe kijana..Mimi sipo kwenye usahihi ama upotoshaji wa mchangiaji. Ninachomtetea ni kule kumuona hana haki ya kusema alichosema kwa sababu eti yeye ni mgeni Jf...hapa ni mgeni ila mitandao mingine anatumia kwani Jf ina tofauti gani na mitandao mingine?
 
Mimi hoja yangu ilikuwa ni kupinga ile dhana yake kwamba Jf siyo pahala sahihi pa kutafutia mwenza, na hoja yangu ni kwamba akina John, Abdallah, Christina, Zuhura n.k uwaonao mtaani ndio hawa hawa akina Khantwe, mme wa mtu n.k, hivyo basi hoja yake inakosa nguvu ya hoja
 
Basi umekurupuka hoja yangu mimi haikuwa huko. Mimi nilikuwa nawajibu wanaohoji uhalali wa mchangiaji kutoa kile alichotoa wakati amejiunga Jf juzi. Kama mtu anaamini kwamba mtandaoni anaweza kupata mwenza atatafuta popote iwe Jf badoo WhatsApp and the like; ila kama mtu anaamini mtandaoni hawezi kupata mwenza then Jf is no exception.
 
Mbona hujaweka na pic yako ili tukuone kabisaaaa wenye vigezo, na sisi tujitathimin kabla ya kuja
 
Kweli Maisha popote nilikua sijui kama kuna sehemu inaitwa PM Tanzania hii hii

Kila la kheri dadaangu [emoji4]
 
Vp bado hujapata mtu mwenye vigezo ulivyotaja ? Njoo pm nikusafishie nyota yako hii wiki haitaisha utafanikiwa tu
 
Miaka 26 iliyopunguzwa. Inamaana unazidi hapo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…