Daah.kwahyo mi sina akili sio?Mie zote ninazo, Tatizo ni hapo kwenye POMBE,..
Kila la kheri Mungu akujalie umpate asiyetumia Pombe..
Ingawaje ninaamini ukikuta mwanaume hanywi Pombe ujue hana akili..
Nimeoa.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mpk hapo ni wazi pombe zimeshakuathiri,poleMie zote ninazo, Tatizo ni hapo kwenye POMBE,..
Kila la kheri Mungu akujalie umpate asiyetumia Pombe..
Ingawaje ninaamini ukikuta mwanaume hanywi Pombe ujue hana akili..
Nimeoa.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Si kweli mkuu!!mimi nina ushahidi kwa rafiki yangu alianza urafiki na mke wake mwaka 2011 fb.mwaka jana 2017 akaamua kufunga ndoa baada ya kuridhika nae.Heee. Humu sijui kama utapata mume bora. Mitandaoni siyo mahala pakupata mume ILa kila la kheri
Wafanya biashara wote wakubwa kwa wadogo wanakutana kwnye pmbe..Hizi dharau sasa
Daah.kwahyo mi sina akili sio?
Mpk hapo ni wazi pombe zimeshakuathiri,pole
Mimi dili zote kubwa zinakuja ofisini, kukiwa na issue ya maana tunakodi ukumbi wa mkutano Hotelini, sasa sijui hizo dili zinazopangiwa Bar ni za nini!!!Wafanya biashara wote wakubwa kwa wadogo wanakutana kwnye pmbe..
Dili zote mjini zinapangiwa bar..
Story za maisha zinaongelewa bar..
Alafu mwanaume haunywi pombe unajihesabia unapambana maishani..