Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

Vigezo vingine vyooote ninatimiza ila navuta sigara na kunywa pombe, nitafikiriwa?
 
Dada zangu wengi mu wazuri wa viwiliwili tena sana tatizo huwa mnachagua sana mpaka inapitiliza ... Mambo mengine mtarekebishana tu hawezi kuja mwanaume ambae hanakijikasoro wewe legeza masharti watu pori watele mbona
 
Mie zote ninazo, Tatizo ni hapo kwenye POMBE,..

Kila la kheri Mungu akujalie umpate asiyetumia Pombe..

Ingawaje ninaamini ukikuta mwanaume hanywi Pombe ujue hana akili..

Nimeoa.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahaha.... Kumbe mimi mwehu eeh...
 
Duh ina maana mtaani kwenu akuna hata kidume kimoja kilio jitokeza kurusha ndoano ???
 
karibu pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…