ELITE POWER
Member
- May 19, 2021
- 42
- 58
Mawasiliano:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichokiuliza mbona kinafanana, sasa unataka tofauti ganiNaomba kujua tofauti ya MUWEKEZAJI na MUWEKEZAJI kwenye title yako
Hili swali mhimu sanaUaminifu uko kiasi gani? Kuna mwanasheria tunaweza kuandaa mkataba?
Hv unajua kuna dawa za kuongeza nguvu za kiume huko Dar inaitwa Elite Power.?Hahaha mkuu, comment kama hii niliitegemea kwa asilimia mia maana ninajua changamoto ya uaminifu inatukabili watanzania si vijana, si wazee!!
Nikutoe tu hofu mkuu na nipende kukujulisha kuwa vijana waaminifu bado tupo nchini na tuna kila sababu ya kutembea kifua mbele maana "uaminifu" umekua "Lulu" zama hizi.
Mtoa mada fanya kutafuta mwanasheria , huyu ma'am uwezo wa kupatner na wewe anao.Uaminifu uko kiasi gani? Kuna mwanasheria tunaweza kuandaa mkataba?
Nipe list ya aina za cereals, legumes na pulses zinazo patikana mkoa huo; kama utaweza kujua kiasi cha tani zinazoweza kupatikana; msimu wa kuanza kupanda kuvuna pamoja na bei zake itakuwa bora.4) Kwa upande wa kilimo biashara bei za mazao huku ziko chini sana hivyo kutoa fursa ya kununua mazao ya huku kwa bei ndogo na kusafirisha kwenye masoko ya walaji wakubwa mikoa mingine ili kutengeneza faida maradufu.
Kweli kabisa kijana mwenzangu....sisi wasomi ni lazima tufanye vitu a bit smart kuliko wasio wasomi ili Elimu yetu ionekane ina "maana".Mtoa mada fanya kutafuta mwanasheria , huyu ma'am uwezo wa kupatner na wewe anao.
Niliwahi andika proposal ya startup ambayo haipo na kwenda kuiombea mtaji .. nkaulizwa mnae ofisi .. hapana ..unae legal documents .. hapana ... Na nilisema return on 15 percent equity [emoji23][emoji23][emoji23] damn me .. ningekuwa nimejipanga Tungekula mena ya nchi na waliotaka kunishika mkono.
Tuwe na utaratibu wa kufanya kazi kisheria hii itatufanya tuaminike zaidi.
Pia utaratibu wa kuweka kumbukumbu za mauzo , projects ambazo tushafanya .. ofisi ... Zina msaada Sana kutukwamua vijana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].....Daah!!Hv unajua kuna dawa za kuongeza nguvu za kiume huko Dar inaitwa Elite Power.?
Mpunga, mahindi, alizeti, ufuta maharagwe ,na karanga zinalimwa kwa wingi sana pia.Nipe list ya aina za cereals, legumes na pulses zinazo patikana mkoa huo; kama utaweza kujua kiasi cha tani zinazoweza kupatikana; msimu wa kuanza kupanda kuvuna pamoja na bei zake itakuwa bora.
Come May nitakupa ishu
Fanya mnyumbulisho wa hiyo 2M katika kilimo cha umwagiliaji labda naweza kushawishika.Kwa analysis ndogo nilioifanya 2M inatosha kabisa kuanza kilimo cha umwagiliaji huku katavi
Vipi bei ya karanga huko iko je?Mpunga, mahindi, alizeti, ufuta maharagwe ,na karanga zinalimwa kwa wingi sana pia.
Karanga, mahindi na alizeti ndio mazao ambayo baadhi ya wakulima wameanza kuvunza since last month.
Wakulima ni wengi sana huku (almost 85% ya wakazi wa huku) wanajishughulisha na kilimo kwahiyo upatikanaji wa mazao ni wa uhakika yaani itahitaji tu utayari wako wa kutenga muda wa kuwazungukia wakulima kipindi cha mavuno.Mpunga, mahindi, alizeti, ufuta maharagwe ,na karanga zinalimwa kwa wingi sana pia.
Karanga, mahindi na alizeti ndio mazao ambayo baadhi ya wakulima wameanza kuvunza since last month.
Hakuna mtu wa kukuamini huko kukukodisha shamba kwa makubaliano kuwa utamlipa ukishavuna na kuuza? Au shamba unalo?Hahaha mkuu, comment kama hii niliitegemea kwa asilimia mia maana ninajua changamoto ya uaminifu inatukabili watanzania si vijana, si wazee!!
Nikutoe tu hofu mkuu na nipende kukujulisha kuwa vijana waaminifu bado tupo nchini na tuna kila sababu ya kutembea kifua mbele maana "uaminifu" umekua "Lulu" zama hizi.