Mimi ni mtaalamu wa kilimo, natafuta mtu mwenye mtaji (fedha) ili tuwekeze kwenye kilimo mkoani Katavi

Sidhani Kama Kuna hela nyepesi ivyo kwa watu. Komaa upate kibarua ili upate huo mtaji halafu uwekeze mwenyewe mkuu.
Nina Imani ukiwa kwenye kilimo halafu ukipata shavu hizi ngo za un mfano ama hata serikalini unasepa fasta unamuacha muwekezaji mwenyewe hajarudisha hela yake ama mazao hata hujayavuna
 
Kupata mtaji kwa watu wa nyakati hizi imekua ngumu sana najua lakini nina imani watu wema na wenye hamasa ya kuwa kwamua kiuchumi vijana waaminifu bado wapo duniani.

Kuna kuandikishana mkataba wa kisheria ili kudhibiti inconveniences kama hizo mkuu.
Subiria uzipate hela tuone Kama utaweza ku finance vijana hao waaminifu. Nakuombea upate hela mkuu ili unyanyue vijana wengine
 
Kweli kabisa kijana mwenzangu....sisi wasomi ni lazima tufanye vitu a bit smart kuliko wasio wasomi ili Elimu yetu ionekane ina "maana".

Mkuu, kama hutojali naomba mawasiliano yako PM ili tuwe tunabadilishana mawazo mawili matatu maana kutokana na ulichokiandika hapa kwenye post yangu kinaonesha kabisa you have a gentle heart na sio mchoyo wa fursa/ information.
Usipende sana kutumia maneno "sisi wasomi". Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika inaweza kutafsirika kama "arrogance".

Kila la kheri mkuu. Nimependa "analysis" ya andiko lako ulivyojieleza.
 
Madame Sky Eclat please open your Private Message for me, I beg you!
I have very crucial and confidential documents and information to share with you, PM me otherwise.
Mkuu natambua hamasa uliyonayo kuhusu harakati zako. Lakini kwa ushauri tu, usitumie nguvu kubwa sana kuonesha nia ya kutaka kushiriakiana na mtu. Unachotakiwa ni ku-share taarifa muhimu kadri inavyowezekana na kuacha nature iweze ku-take place.

Kwakuwa umeshamjibu juu ya swali lake na ukamwambia PM yake ameifunga hivyo huwezi kum PM, taarifa hizo zimetosha. Kama atakuwa interested atakutafuta mwenyewe. Ukitumia nguvu kubwa kwa mtu unamfanya apate wasiwasi na si njia nzuri sana. Nimekushauri tu Mkuu kulingana na uzoefu wangu wa kuwaelewa watu.
 
Usipende sana kutumia maneno "sisi wasomi". Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika inaweza kutafsirika kama "arrogance".

Kila la kheri mkuu. Nimependa "analysis" ya andiko lako ulivyojieleza.
Ahsante sana kwa muongozo mkuu.
 
Ahsante kwa mtazamo wako kiongozi.
 
Usipende sana kutumia maneno "sisi wasomi". Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika inaweza kutafsirika kama "arrogance".

Kila la kheri mkuu. Nimependa "analysis" ya andiko lako ulivyojieleza.
Karibu pia kwa "support" ya aina yeyote mkuu.
 
Hiyo bei niliyokuwekea ni ya kununulia kwa sokoni sio bei ya karanga kutoka kwa wakulima wazalishaji.
Hivi unajua bei ulio iweka haina tofauti na ya Dar? Kuna shida mahali katika utoaji wako wa taarifa.
 
Hilo shamba pichani ni takribani hekari 10 na lipo umbali wa mita 150 kutoka kwenye mto unao-flow mwaka mzima.

Mwenye nalo ndio huyo mzee unayemuona pichani na analiuza 20M lote.
20M kwa eka 10 tu?
 
Sidhani Kama Kuna hela nyepesi ivyo kwa watu. Komaa upate kibarua ili upate huo mtaji halafu uwekeze mwenyewe mkuu.
Nina Imani ukiwa kwenye kilimo halafu ukipata shavu hizi ngo za un mfano ama hata serikalini unasepa fasta unamuacha muwekezaji mwenyewe hajarudisha hela yake ama mazao hata hujayavuna
Hapo kwenye kuondoka akaacha mradi ndio tatizo kubwa lilipo. Wengi Huwa wanafanya hivyo
 
Mkuu natambua hamasa uliyonayo kuhusu harakati zako. Lakini kwa ushauri tu, usitumie nguvu kubwa sana kuonesha nia ya kutaka kushiriakiana na mtu. Unachotakiwa ni ku-share taarifa muhimu kadri inavyowezekana na kuacha nature iweze ku-take place.

Kwakuwa umeshamjibu juu ya swali lake na ukamwambia PM yake ameifunga hivyo huwezi kum PM, taarifa hizo zimetosha. Kama atakuwa interested atakutafuta mwenyewe. Ukitumia nguvu kubwa kwa mtu unamfanya apate wasiwasi na si njia nzuri sana. Nimekushauri tu Mkuu kulingana na uzoefu wangu wa kuwaelewa watu.
Ni ushauri mzuri sana umempatia. Nilitaka kumshauri kitu kama hiki.
 
Hapo kwenye kuondoka akaacha mradi ndio tatizo kubwa lilipo. Wengi Huwa wanafanya hivyo
Hali anayoipitia nadhani ni wachache Sana ambao hawajaipitia. Kusema ukweli eti apate kazi mfano hizi UN organization about kilimo eti akomae na kilimo eti ndio passion yake ni ngumu Sana. Navyojua mtu ukiwa na njaa maongezi unayoongea ni tofauti ukiwa umeshiba
 
Sawa mkuu ni maoni yako, yanaweza kuwa sawa au si sawa kwangu binafsi.
 
Back
Top Bottom