Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Mkuu Fursakibao bei ya kununulia karanga kwa wakulima wa mwamapuli, kibaoni na usevya zinachezea kwenye 40,000/= mpaka 42,000/= kwa gunia la debe 6Nipe muda nifatilie bei za shambani halafu ntakupa feedback.
Subiria uzipate hela tuone Kama utaweza ku finance vijana hao waaminifu. Nakuombea upate hela mkuu ili unyanyue vijana wengineKupata mtaji kwa watu wa nyakati hizi imekua ngumu sana najua lakini nina imani watu wema na wenye hamasa ya kuwa kwamua kiuchumi vijana waaminifu bado wapo duniani.
Kuna kuandikishana mkataba wa kisheria ili kudhibiti inconveniences kama hizo mkuu.
Amina na ahsante mkuu [emoji120][emoji120]Subiria uzipate hela tuone Kama utaweza ku finance vijana hao waaminifu. Nakuombea upate hela mkuu ili unyanyue vijana wengine
Yeah, kinafanyika..karibu sana mkuuMkuu vp kilimo.cha maharage na alizet kipande hicho kinafanyika
Nataka nije huko September mwaka huu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Usipende sana kutumia maneno "sisi wasomi". Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika inaweza kutafsirika kama "arrogance".Kweli kabisa kijana mwenzangu....sisi wasomi ni lazima tufanye vitu a bit smart kuliko wasio wasomi ili Elimu yetu ionekane ina "maana".
Mkuu, kama hutojali naomba mawasiliano yako PM ili tuwe tunabadilishana mawazo mawili matatu maana kutokana na ulichokiandika hapa kwenye post yangu kinaonesha kabisa you have a gentle heart na sio mchoyo wa fursa/ information.
Mkuu natambua hamasa uliyonayo kuhusu harakati zako. Lakini kwa ushauri tu, usitumie nguvu kubwa sana kuonesha nia ya kutaka kushiriakiana na mtu. Unachotakiwa ni ku-share taarifa muhimu kadri inavyowezekana na kuacha nature iweze ku-take place.Madame Sky Eclat please open your Private Message for me, I beg you!
I have very crucial and confidential documents and information to share with you, PM me otherwise.
Ahsante sana kwa muongozo mkuu.Usipende sana kutumia maneno "sisi wasomi". Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika inaweza kutafsirika kama "arrogance".
Kila la kheri mkuu. Nimependa "analysis" ya andiko lako ulivyojieleza.
Ahsante kwa mtazamo wako kiongozi.Mkuu natambua hamasa uliyonayo kuhusu harakati zako. Lakini kwa ushauri tu, usitumie nguvu kubwa sana kuonesha nia ya kutaka kushiriakiana na mtu. Unachotakiwa ni ku-share taarifa muhimu kadri inavyowezekana na kuacha nature iweze ku-take place.
Kwakuwa umeshamjibu juu ya swali lake na ukamwambia PM yake ameifunga hivyo huwezi kum PM, taarifa hizo zimetosha. Kama atakuwa interested atakutafuta mwenyewe. Ukitumia nguvu kubwa kwa mtu unamfanya apate wasiwasi na si njia nzuri sana. Nimekushauri tu Mkuu kulingana na uzoefu wangu wa kuwaelewa watu.
Karibu pia kwa "support" ya aina yeyote mkuu.Usipende sana kutumia maneno "sisi wasomi". Katika ulimwengu wa watu waliostaarabika inaweza kutafsirika kama "arrogance".
Kila la kheri mkuu. Nimependa "analysis" ya andiko lako ulivyojieleza.
Hivi unajua bei ulio iweka haina tofauti na ya Dar? Kuna shida mahali katika utoaji wako wa taarifa.Hiyo bei niliyokuwekea ni ya kununulia kwa sokoni sio bei ya karanga kutoka kwa wakulima wazalishaji.
20M kwa eka 10 tu?Hilo shamba pichani ni takribani hekari 10 na lipo umbali wa mita 150 kutoka kwenye mto unao-flow mwaka mzima.
Mwenye nalo ndio huyo mzee unayemuona pichani na analiuza 20M lote.
Hapo kwenye kuondoka akaacha mradi ndio tatizo kubwa lilipo. Wengi Huwa wanafanya hivyoSidhani Kama Kuna hela nyepesi ivyo kwa watu. Komaa upate kibarua ili upate huo mtaji halafu uwekeze mwenyewe mkuu.
Nina Imani ukiwa kwenye kilimo halafu ukipata shavu hizi ngo za un mfano ama hata serikalini unasepa fasta unamuacha muwekezaji mwenyewe hajarudisha hela yake ama mazao hata hujayavuna
Ni ushauri mzuri sana umempatia. Nilitaka kumshauri kitu kama hiki.Mkuu natambua hamasa uliyonayo kuhusu harakati zako. Lakini kwa ushauri tu, usitumie nguvu kubwa sana kuonesha nia ya kutaka kushiriakiana na mtu. Unachotakiwa ni ku-share taarifa muhimu kadri inavyowezekana na kuacha nature iweze ku-take place.
Kwakuwa umeshamjibu juu ya swali lake na ukamwambia PM yake ameifunga hivyo huwezi kum PM, taarifa hizo zimetosha. Kama atakuwa interested atakutafuta mwenyewe. Ukitumia nguvu kubwa kwa mtu unamfanya apate wasiwasi na si njia nzuri sana. Nimekushauri tu Mkuu kulingana na uzoefu wangu wa kuwaelewa watu.
Hali anayoipitia nadhani ni wachache Sana ambao hawajaipitia. Kusema ukweli eti apate kazi mfano hizi UN organization about kilimo eti akomae na kilimo eti ndio passion yake ni ngumu Sana. Navyojua mtu ukiwa na njaa maongezi unayoongea ni tofauti ukiwa umeshibaHapo kwenye kuondoka akaacha mradi ndio tatizo kubwa lilipo. Wengi Huwa wanafanya hivyo
Yeah, ni shamba lililo karibu na mto (150m) unao-flow mwaka mzima20M kwa eka 10 tu?
Kuandikishana mkataba wa kisheria ndio suluhu ya janjajanja kama hizo mkuu.Hapo kwenye kuondoka akaacha mradi ndio tatizo kubwa lilipo. Wengi Huwa wanafanya hivyo
Sawa mkuu ni maoni yako, yanaweza kuwa sawa au si sawa kwangu binafsi.Hali anayoipitia nadhani ni wachache Sana ambao hawajaipitia. Kusema ukweli eti apate kazi mfano hizi UN organization about kilimo eti akomae na kilimo eti ndio passion yake ni ngumu Sana. Navyojua mtu ukiwa na njaa maongezi unayoongea ni tofauti ukiwa umeshiba
Ndo uhalisia wa bei za karanga kwasasa kwa huku nilipo.Hivi unajua bei ulio iweka haina tofauti na ya Dar? Kuna shida mahali katika utoaji wako wa taarifa.