Nashindwa kuelewa unataka nini Kama umesomea kilimo unataka utumia elimu ya kilimo kupata pesa au shida yako upate pesa kutoka kwa watu kisha ukimbie?
Mimi sijasomea kilimo sijui hata A,B ya kilimo lakini vifaa vya kilimo vipo nilivileta hapa nchini kwa lengo la kuviuza kisha nikabadili mawazo.
Unaoneka kama unataka upewe pesa mkononi ili ununua vifaa au unatakaje?