Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Inatakiwa wapigwe spana kweli kweli bidhaa nyingi za Malawi zimepita daslm leo hii wanataka kuleta viburi kisa bandari ndogo ya Msumbiji.sa hivi wanalia tu
Inatakiwa wapigwe spana kweli kweli bidhaa nyingi za Malawi zimepita daslm leo hii wanataka kuleta viburi kisa bandari ndogo ya Msumbiji.sa hivi wanalia tu
Bandari ya msubiji watatumia njia ipi kwenda wakati waasi wamechavhamaa huko msubijiInatakiwa wapigwe spana kweli kweli bidhaa nyingi za Malawi zimepita daslm leo hii wanataka kuleta viburi kisa bandari ndogo ya Msumbiji.
That fucx both sides! Naomba malawi nao wakaze, show showNa unaju Malawi ni njia inayotumiwa na Tanzania pia kuleta bidhaa toka South Africa? Sio lazima upitie Zambia
Pana eneo wanapita ila sio rahisi kama Kuja daslmBandari ya msubiji watatumia njia ipi kwenda wakati waasi wamechavhamaa huko msubiji
Sasa ulifikiri Malawi watafanya nini? Kwa sababu huna elimu ya kutosha hujui strategy ya "buy time to fight another day"Kubishana na wajinga kama wewe kwenye mabo yanayokudi nitakuwa najichosha. FYI Malawi wanataka kukaa mezani kuyamaliza na waziri wao wabishara kaisha sema hilo.
Malawi walikuwa DRC. Kitu gani kinawashinda kusaidiana na Msumbiji kuondoa waasi ikiwa wako desparate na access ya bandari za Msumbiji?Bandari ya msubiji watatumia njia ipi kwenda wakati waasi wamechavhamaa huko msubiji
Umeshasema ikitokea!! Haitatokea maana wanajua kuheshimiana kwenye biashara ya nipe nikupe. Huu uoga wa ******* ndio unawafanya wabongo waonekane mapoyoyo hapo East Africa ilhali wana kila kitu cha kuwafanya wawe juu.Hivi mkuu tujiulze tuu kwamb ikitokea budhaa zetu kadhaa zikazuiliwa RDC, Rwanda na uganda kwasabab zao ila zisizo za shari just kuimarisha masoko yao ya ndani hivi tunaweza wazuia na wao bidhaa zao zisipite mzizima port? Kama tulivyofanya huko Kwa Kamuzu Banda??
Hili nalo linawezekana.Itakuwa bashe ameguswa katika maslahi yake binafsi, akaamua aiwekee vikwazo ili ilegeze aendelee kupeleka bidhaa zake za kilimo huko. Jambo ambalo litaleta athari hasi kwa taifa.
Umemsikia Mamam Tibaijuka? Amesema wazi, anachokifanya Bashe ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa, tuwaombe Malawi msamaha! Sasa nyie poyopoyo hamkuliona hilo!Watu kama nyie mna mchango mdg Kwa taifa .....hamna faida Bora mngekuwa kasongo. ....tuwale kitmoto
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Soma alichosema Tibaijuka uone usivyo na uwezo wa kufikiriMkuu vita haichagui silaha, ikibidi tumia silaha zote ulizonazo ili ushinde vita.
Malawi wanafaidika na mengi ya Tanzania waache unyanyapaa dhidi yetu vinginevyo tutakabiliana nao.
Mama Tibaijuka kawafanya watu kama wewe na kipenzi chako Bashe muonekane wajinga sana!Itakuwa nyie ndo wapinga maendeleo ( chadema)
Iko hivi ....Kila mtu anaangalia silaha ya kumdhibiti mpinzani.....hakuna anayekucgagulia silaha
Bashe yupo sahihi 100% ......ni mzalendo sana
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ulim-support mtu ambaye imekuja kuonekana aliongea ujinga sana! Sasa hiyo inakufanya wewe nani?Kwa hili Bashe namsupport 💯
Kwahiyo ulisubiri tamko la Tibaijuka ili ujue uwezo wangu?Soma alichosema Tibaijuka uone usivyo na uwezo wa kufikiri
Je msimamo wa Malawi kwa tz ni uungwana?Tanzania inaonekana hatuna sera ya mambo ya nje, tupo tupo tu. Lakini hata hivyo, kauli za Bashe kwa Malawi juu ya Malawi kuzuia uingizaji wa bidhaa za kilimo sio ya kiungwana, na haiakisi -Utanzania tulio nao.
Tukio liko hivi, katika kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni na kukuza kilimo ndani ya nchi, Malawi imepiga marufuku uingizaji wa bidhaa za kilimo ambazo zinaweza kuzalishwa Malawi. Bidhaa hizi ni pamoja na mchele, unga, tangawizi, maji ya kunywa ya chupa, nk, ambavyo vingi vinatoka Tanzania.
Bashe, waziri wa Kilimo, amewajibu Malawi kwamba kwa kuwa wamefanya hivyo basi na Tanzania inazuia bidhaa zote za kilimo toka Malawi kuingia Tanzania.
Sasa kama Bashe angeishia hapo isingekuwa Tatizo, kwa kuwa angeweza kusema ni reciprocal arrangement, na sie tunalinda bidhaa za ndani na kukuza kilimo ndani ya nchi. Hata hivo lazima utumie busara, ili usiumize wananchi kwa mihemuko ya kulipiza kisasi
Lakini Bashe kaenda mbali zaidi, akasema,
2.Mizigo ya bidhaa za kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini haitaruhusiwa kupita ndani ya mipaka ya Tanzania, kuelekea bandari ya Dar es Salaam au nchi nyingine yoyote, hadi zuio hilo litakapoondolewa.
3.Usafirishaji wa mbolea kwenda Malawi utasitishwa, ikiwa ni sehemu ya hatua za kulinda maslahi ya wakulima na wafanyabiashara wa Kitanzania.
Sasa najiuliza
Ikumbukwe kwamba, Malawi imezuia uingizaji wa bidhaa za kilimo sio tu toka Tanzania, bali kwa nchi zote kutia ndani South Afrika, Zimbabwe nk. Sasa kwa nini tunawaingilia? Kwa mfano, sisi Tanzania tunaruhusu uingizaji wa maji ya kunywa ya chupa? Kama hapana, kwa nini?
- Suala la Malawi kupitisha Mazao yake bandari ya Dar es Salaam kwenda nje linahusiana nini na wao kusema wanazuia kuagiza bidhaa za kilimo toka nje? Huku si kukomoana tu kwa makusudi?
- Usafirishaji wa mbolea kwenda Malawi utasitishwa, kwa nini? Mbolea inasafirishwa kwenda Malawi kama wanavyosafirisha bidhaa nyingine kwa kutumia bandari ya Tanzania, ambayo sisi tunataka waitumie kwa sababu ni huduma wanalipia. Sasa leo tunawakomoa Malawi kuwanyima matumizi ya bandari kwa sababu tu wanataka ku-promote uzalishaji wa kilimo ndani ya nchi yao?
Sasa unafanyaje uamuzi kwa Malawi, kwamba kama hununui mchele wetu wa Mbeya, basi ukiagiza mbolea toka nje usipitishe kwenye bandari yetu. Ni akili hiyo ya kiwango cha waziri?
Tunaposema Tanzania ina sera ya Ujamaa na Kujitegemea -japo sijui kama bado ipo - kujitegemea tuna maanisha nini? Tunawaadhibu Malawi kutimia bandari yetu kwa sababu wanataka kujitegemea katika bidhaa za kilimo? Mbona hata sisi Tanzania kuna wakati, ili kukuza sekta fulani fulani, tunadhibiti uingizaji wa bidhaa fulani toka nje, kwa iwe nongwa kwa Wamalawi?
Kwanza haya matamshi ya Bashe sio mambo ya wizara yake; wanaohusika ni Waziri wa Viwanda na Biashara na Waziri wa Mambo ya Nje, sasa kimbelembele cha nini, kumshawishi Raisi Samia kwamba yeye ni tough guy?
Mimi naona katika hili Bashe amekosa busara kabisa - ame-overreact. Raisi Samia awaombe msamaha Malawi kwa kauli hizi za Bashe. Labda pia maamuzi haya ya Bashe yatakuwa na baraka za Raisi Samia. Kama ni hivyo, hivi tuseme Tanzania tumekaa tukatafakari tukaona msimamo kama huu ni wa hekima kweli? Niiteni mhaini, lakini kuna maamuzi mengine mnafanya kama viongozi yatatutia aibu.
Tanzania hatupaswi kutumia blackmail katika negotiations, only primitive and uncultured people will resort to that. Tunatakiwa tutumie reciprocation.
Hiyo hainifanyi mm kuwa nani...Let us just agree to disagree..Ulim-support mtu ambaye imekuja kuonekana aliongea ujinga sana! Sasa hiyo inakufanya wewe nani?
Hebu Rwanda au Uganda wazuie bidhaa zetu kuingia kwao, halafu uoneMkuu inategemeana wataalamu wa uchumi na diplomasia wamezingatiwa kias gani ktk maamuz hayo.
Pia hilo la jino kwa jino inawezekana tumewa-underlook malawi. Hivi unadhan ingekuwa uganda au rwanda tungeamua haraka na kwa jeuri hivyo??.
Kama halina madhara kiuchumi fresh tui ila kama inatucost bhasi ngoja tuseme, Amen!.
Bashe kaumbuka! Kiherehere tu, ambacho kitakuja kumponzaNaungana na bashe.