Mimi ni Mtanzania, lakini kwa huu msimamo wa Bashe kwa Malawi huu sio uungwana wala ujirani mwema

Kubishana na wajinga kama wewe kwenye mabo yanayokudi nitakuwa najichosha. FYI Malawi wanataka kukaa mezani kuyamaliza na waziri wao wabishara kaisha sema hilo.
Sasa ulifikiri Malawi watafanya nini? Kwa sababu huna elimu ya kutosha hujui strategy ya "buy time to fight another day"

Kuomba kukaa mezani ni temporary strategy katika ku-buy time waje ku-win hii vita, bado watakuwa wanapanga mkakati wa muda mrefu na siku wakirudi utashangaa. Mtakaa mezani, na kukubaliana, lakini sio kwamba it is over. Omba uzima.
 
Bandari ya msubiji watatumia njia ipi kwenda wakati waasi wamechavhamaa huko msubiji
Malawi walikuwa DRC. Kitu gani kinawashinda kusaidiana na Msumbiji kuondoa waasi ikiwa wako desparate na access ya bandari za Msumbiji?

Ziwa Tanganyika lina mafuta, ambayo inabidi tushirikiane na DRC kuyaendeleza. Hiyo ilikuwa sababu kuu kwa nini Tanzania tulikubali kuisaidia DRC kuwaondoa waasi ile sehemu, japo tulikuja kuhujumiwa.
 
Umeshasema ikitokea!! Haitatokea maana wanajua kuheshimiana kwenye biashara ya nipe nikupe. Huu uoga wa ******* ndio unawafanya wabongo waonekane mapoyoyo hapo East Africa ilhali wana kila kitu cha kuwafanya wawe juu.
 
Itakuwa bashe ameguswa katika maslahi yake binafsi, akaamua aiwekee vikwazo ili ilegeze aendelee kupeleka bidhaa zake za kilimo huko. Jambo ambalo litaleta athari hasi kwa taifa.
Hili nalo linawezekana.
 
Watu kama nyie mna mchango mdg Kwa taifa .....hamna faida Bora mngekuwa kasongo. ....tuwale kitmoto

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Umemsikia Mamam Tibaijuka? Amesema wazi, anachokifanya Bashe ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa, tuwaombe Malawi msamaha! Sasa nyie poyopoyo hamkuliona hilo!
 
Mkuu vita haichagui silaha, ikibidi tumia silaha zote ulizonazo ili ushinde vita.
Malawi wanafaidika na mengi ya Tanzania waache unyanyapaa dhidi yetu vinginevyo tutakabiliana nao.
Soma alichosema Tibaijuka uone usivyo na uwezo wa kufikiri
 
Itakuwa nyie ndo wapinga maendeleo ( chadema)

Iko hivi ....Kila mtu anaangalia silaha ya kumdhibiti mpinzani.....hakuna anayekucgagulia silaha

Bashe yupo sahihi 100% ......ni mzalendo sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mama Tibaijuka kawafanya watu kama wewe na kipenzi chako Bashe muonekane wajinga sana!
 
Soma alichosema Tibaijuka uone usivyo na uwezo wa kufikiri
Kwahiyo ulisubiri tamko la Tibaijuka ili ujue uwezo wangu?
Mbona hukutoa tamko kama hilo ili tujue uwezo wako wa kufikiri?
Wewe na wamalawi wenzako msijifariji kwa tamko hilo, vita haijaisha.
 
Je msimamo wa Malawi kwa tz ni uungwana?
 
Hebu Rwanda au Uganda wazuie bidhaa zetu kuingia kwao, halafu uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…