Mimi ni muhuni ila kwako nimetulia ILOVE YOU Marry

Muimba SINGELI

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
4,211
Reaction score
10,864
Ilove you Marry, ijapo kuwa wewe sio pua yangu lakini iko wazi bila wewe siwezi kupumua.

Siku ya ndoa yetu ikifika nitatinga kanzu ya babu, tutacheza rumba tarabu itakuwa pambe.

Na usiku ukifika nitakufundisha hesabu, ukikosea majawabu nitakuchapa kwa mkwaju hadi utoe vilio vya ajabu, Majirani wapate tabu wakitaka wahame.

Ilove Marry.

Cc: Marry Diana
 
Kumbe hata ndoa Bado? Punguza wenge kijana
 
Si atokee muebrania mmoja anishow vile mapenzi inakuanga tamu.!! 😥

Mayatima wa mapenzi tunateseka sijapentraaaaaaa 😏😹😹
Na bado 😂😂
Screenshot_20250206-184143~2.jpg
 
Ilove you Marry, ijapo kuwa wewe sio pua yangu lakini iko wazi bila wewe siwezi kupumua.

Siku ya ndoa yetu ikifika nitatinga kanzu ya babu, tutacheza rumba tarabu itakuwa pambe.

Na usiku ukifika nitakufundisha hesabu, ukikosea majawabu nitakuchapa kwa mkwaju hadi utoe vilio vya ajabu, Majirani wapate tabu wakitaka wahame.

Ilove Marry.

Cc: Marry Diana
Haya bwana mambo yenu tunawaachia wenyewe😄😄
 
Back
Top Bottom