Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Kwendraaa 😹Na bado 😂😂View attachment 3403495
Nitakupa kidogo somo kuhusu mapenzi, watu tunao kataliwa sana kama mimi hapa jf, ndiyo tunajuwa kupenda.Si atokee muebrania mmoja anishow vile mapenzi inakuanga tamu.!! 😥
Mayatima wa mapenzi tunateseka sijapentraaaaaaa 😏😹😹
Sawa Mkuu enjoyJamani mtu kuonesha mapenzi yake kwa mtu ampendae ni kujichoresha!!
Tajiri Hana baya kawa masikini jeuri sasaChizi kapewa rungu, mbona dunia itasema tu.
dosho12, Selikavu, BLACKTIGER, Razorblade, Edo kissy, Smooth Criminal
View attachment 3403492
Meri huyu huyu wa JF? 🙄Ndiyo.
Unabonyeza wapi mkuu ili kupunguza wenge?Kumbe hata ndoa Bado? Punguza wenge kijana
Mahi mzigo wa serum ushaingia na kojie soap mwambie shem kabla mzigo haujaisha..!! 😜Haya ahsante,❤️
Ila samahani naingia jikoni ,nitarudi
utasema vyote mkuu😅Kwendraaa 😹
Huyo hata umuuzie kojie acid, hamna kitu hapaMahi mzigo wa serum ushaingia na kojie soap mwambie shem kabla mzigo haujaisha..!! 😜
Mchune chap chap kabla hajakata kamba udugu wangu..!! 😹
😂😂😂 na ni kweli maana hamjaitwa ni vile tu watanzania hamtaki kupitwa kwenye mambo ya watu.Haya bwana mambo yenu tunawaachia wenyewe😄😄
Tumemtafuta kidogo tu karudi kwa speed ya umeme 😂😂😂😂😂Kijana Masikini best man wako Harmful yupo wapi
Unamfundisha mwenzio tabia mbayaMahi mzigo wa serum ushaingia na kojie soap mwambie shem kabla mzigo haujaisha..!! 😜
Mchune chap chap kabla hajakata kamba udugu wangu..!! 😹
Sio bonge la dada!!Nitakupa kidogo somo kuhusu mapenzi, watu tunao kataliwa sana kama mimi hapa jf, ndiyo tunajuwa kupenda.
Nataka nimpende Marry hadi awe bonge nyanya.
Utaji jei jei 😹😹utasema vyote mkuu😅