Mimi ni muhuni ila kwako nimetulia ILOVE YOU Marry

Mimi ni muhuni ila kwako nimetulia ILOVE YOU Marry

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yupo kwenye uzi wa pilau la nazi huko, nahisi ana mpango wa kuwakula kimasihara wadada wa mtaani kwake.
Kule nilitoka muda tu nasoma visa vya watu walioumizwa na mapenzi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nimeanza na story ya patrickk "ushawahi kuteswa na mapenzi mpaka ukajiuliza ulikosea wapi"๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ilove you Marry, ijapo kuwa wewe sio pua yangu lakini iko wazi bila wewe siwezi kupumua.

Siku ya ndoa yetu ikifika nitatinga kanzu ya babu, tutacheza rumba tarabu itakuwa pambe.

Na usiku ukifika nitakufundisha hesabu, ukikosea majawabu nitakuchapa kwa mkwaju hadi utoe vilio vya ajabu, Majirani wapate tabu wakitaka wahame.

Ilove Marry.

Cc: Marry Diana
Umeshalipa deni la songesha ?
 
Back
Top Bottom