Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #81
Mkuu heshimu mahusiano ya watu.Kuendelea kupata vichekesho vya hivi nabonyeza ngapi?
Mkuu heshimu mahusiano ya watu.Kuendelea kupata vichekesho vya hivi nabonyeza ngapi?
Ilove you Marry, ijapo kuwa wewe sio pua yangu lakini iko wazi bila wewe siwezi kupumua.
Siku ya ndoa yetu ikifika nitatinga kanzu ya babu, tutacheza rumba tarabu itakuwa pambe.
Na usiku ukifika nitakufundisha hesabu, ukikosea majawabu nitakuchapa kwa mkwaju hadi utoe vilio vya ajabu, Majirani wapate tabu wakitaka wahame.
Ilove Marry.
Cc: Marry Diana
Nitakutag mkuu subir upepo wa penzi la ndugu yetu upungue tulete wetu 😂Tunausubiri kwa hamu huo uzi 😄😄
Pengine upo sahihi mkuu, ila Kumbuka haya ni mapenzi, mapenzi hayana tabaka.Tofauti ya nyuzi zako wakati unajiita tajiri sina Baya na nyuzi hizi tangu uanze kujiita Kijana Masikini ndio inaakisi utofauti kati ya tajiri na masikini. Kweli umekua Kijana Masikini
😂😂 Marry ananipenda bwana hata hivyo ninammudu kitandani nina uhakika.Akupasue Marry mwenyewe, ukifinyiwa kwa ndani na ulivyofilisika sasa hivi unaweza kuzirai kabisa,Marry akapewa kesi ya mauaji bure
Kuringa kivipi mkuu hata sijaelewa, au ulikuwa na mipango nae nimekupokonya Tonge mdomoni!Mh yaishe bwana ila unaringa sana jamaa
Duh mambo ya makopa kopa ngoja nikae pembeni nione!Chizi kapewa rungu, mbona dunia itasema tu.
dosho12, Selikavu, BLACKTIGER, Razorblade, Edo kissy, Smooth Criminal
View attachment 3403492
InapendezaKwani mapenzi ya dhati yana ukomo mkuu? Hii ni mpaka kifo kitutenganishe.
Sawa pambania penzi mkuuPengine upo sahihi mkuu, ila Kumbuka haya ni mapenzi, mapenzi hayana tabaka.
Ndoa na nani Nywamwi255? Kama ni yeye itakuwa good maana yupo huku mkoa, nitakwenda kula ugali kwake shem langu.Ndiyo kaka me nimechukua hiyo Moja na nishaitambulisha kwa masela wa kitaa tunasubir siku niioe sauti 😂😂😂
Tukifunga ndoa ya kisela nitaishushia Uzi na mimi
Sawa mkuHamna mkuu kwenye maandishi yenu Kuna ujumbe muhimu sana kwahiyo nayapitia tu nipate funzo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tunausubiri kwa hamu huo uzi 😄😄
Vunga sitaki tugombaneKuringa kivipi mkuu hata sijaelewa, au ulikuwa na mipango nae nimekupokonya Tonge mdomoni!
😂😂😂 si mlikuwa mnadhani najichetua bure, sasa mambo ni mpwito mpwito.Nyamwi255 mbona huniambii sauti yako mahali sh ngap nikutumie uniozeshe kiongozi
Nakuahidi nitaitunza na kuilinda sana
dosho12 acha tumuoneshe Kijana Masikini kuwa SI wenyewe tumepagawa sana tu 😂😂😂😂🤣
😂😂 Sawa.Vunga sitaki tugombane
Mkuu wewe fungua tu huo uzi au tuombe tuingie break ila ukisubiri upungue utasubiri na kusubiri.Nitakutag mkuu subir upepo wa penzi la ndugu yetu upungue tulete wetu 😂
Marry umeingia box?Haya ahsante,❤️
Ila samahani naingia jikoni ,nitarudi
Saafi, tutakupa tenda ya upishi mkuu kama utahitaji.Inapendeza