Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #121
YaahAu sio
YaahAu sio
My love,Marry Diana my love, tangu umchane huyu mywa mbege kwamba hana kazi anashinda jf anachuki sana na penzi letu, ona majina ambayo ametuita hapo.
😂😂😂 tatizo unachagua sana.Kumbe hum mnapendana vya kweli kweli, mimi wanaishia kunichuna tu na utelezi sipati @ephen
MakubwaaPeleka bichwa lako huko , au nawewe nikutie ignore kama huyo kiazi wako?
Hakuna tatizo lolote mkuu, mimi mwenyewe nimeshawaweka ignore watu nisiopenda kuona maudhui yao zaidi ya 30. Haitakuwa shida ukiniweka ignore mtu mmoja ambae sina lolote la maana humu.Peleka bichwa lako huko , au nawewe nikutie ignore kama huyo kiazi wako?
🤩😁😅 jamani uzi nimekufungulia wewe zinaanza nongwa tena kweli!Makubwaa
Tulia tuone saa mbovu zilivyo poteza majira...🤣Si mngemalizana Pm Mkuu
Hauna viwango vya mimi kukuweka ignore wewe inawezekana ni rika na mwanangu , huo utani tu 😅Hakuna tatizo lolote mkuu, mimi mwenyewe nimeshawaweka ignore watu nisiopenda kuona maudhui yao zaidi ya 30. Haitakuwa shida ukiniweka ignore mtu mmoja ambae sina lolote la maana humu.
Mungu awe na sisi baby one day tutakutana tu na kuwa mwili mmoja, ushamaliza kupika?My love,
Duniani kuna watu na viatu,na hakuna anayependa hata hatua moja ya mafanikio ya wengine,weee achana naye,natamani tungekuwa wote usiku huu ❤️❤️
babe! nipo hapa..Si atokee muebrania mmoja anishow vile mapenzi inakuanga tamu.!! 😥
Mayatima wa mapenzi tunateseka sijapentraaaaaaa 😏😹😹
Hakuna namna MkuuWewe mtu akitaka kumaliza na wewe anawezaje?
Ohoo sawa mkuu, ila kwa nini unamwita majina mabaya mpenzi wangu! Kumbuka ninampenda naomba umheshimu mkuu.Hauna viwango vya mimi kukuweka ignore wewe inawezekana ni rika na mwanangu , huo utani tu 😅
Ngoja nitulie 🤣🤣Tulia tuone saa mbovu zilivyo poteza majira...🤣
DIAMOND PLATINUMZAko ka marry kabay kudadeki juzi kati kuna pande nilikaona
Ila huyu jamaa anaroho ngumu sana aisee.....🤣 maana ile Dp ya mwali inahitaji ujasiri wa kipekee....😜Ngoja nitulie 🤣🤣
Hivi ule uzi wako wa sauti ulifutwa jana?Si atokee muebrania mmoja anishow vile mapenzi inakuanga tamu.!! 😥
Mayatima wa mapenzi tunateseka sijapentraaaaaaa 😏😹😹
Demu mbaya halafu hana adabu , hizo pisi za buza na mbagala nina alegy nazo bwasheeOhoo sawa mkuu, ila kwa nini majina mabaya mpenzi wangu! Kumbuka ninampenda naomba umuheshimu mkuu.