Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #141
Ameen.Mungu akawajalie mema kwenye mapenzi yenu
Ameen.Mungu akawajalie mema kwenye mapenzi yenu
Pisi za buza
🤣🤣🤣 ujasiri wa ajabu sana, 🥲 lakini usikute kaona huyo ndiyo wa kufanana naye 😎Ila huyu jamaa anaroho ngumu sana aisee.....🤣 maana ile Dp ya mwali inahitaji ujasiri wa kipekee....😜
Sio kwamba ni hapa hapa?Hakuna namna Mkuu
😂😂 ngoja nikomee hapa.Demu mbaya halafu hana adabu , hizo pisi za buza na mbagala nina alegy nazo bwashee
Komaa halafu tafuta pesa zaidi😂😂 ngoja nikomee hapa.
Sawa mkuu.
Hapa vipi tena Mkuu? Hakuna namna kabisaSio kwamba ni hapa hapa?
Sawa.Komaa halafu tafuta pesa zaidi
Kitu lainii dadekiPisi za buza
Namna ipo haijawahi kutokuwepoHapa vipi tena Mkuu? Hakuna namna kabisa
No one will go down uncircumcised as long as you're a mortuary attendant.😆😆😆😅Mungu nifundishe kunyamaza
Fundi ya makasi 🦅No one will go down uncircumcised as long as you're a mortuary attendant.😆😆😆😅
Kama ipo na unaiona sawa MkuuNamna ipo haijawahi kutokuwepo
Sawa kiongozi.Na wewe unaonekana ndio ulimpenda na yeye hajakupenda utapata shida sana anakuchora
Hahaha sio kweliNo one will go down uncircumcised as long as you're a mortuary attendant.😆😆😆😅
Umeopoa mzoga huo mkuu, hongera kwa kupata jikoUsijali my love korofisha utanikuta.
🥰🥰🥰
Hujawahi kuniambia hii statement ina maana gani mkuu.Fundi ya makasi 🦅
Jamaa ndio anasemaga hivyo mkuu!😆Hahaha sio kweli
Mkuu kumheshimu shemeji yako ni jambo moja la busara sana.Umeopoa mzoga huo mkuu, hongera kwa kupata jiko