ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Subiri nikaiangalie nimpikie shemeji yako.Kama unafanya biashara nikitag kule kuna video nlikuwekea, kama unapika kula tu sio muhimu sana.
Subiri nikaiangalie nimpikie shemeji yako.Kama unafanya biashara nikitag kule kuna video nlikuwekea, kama unapika kula tu sio muhimu sana.
Ndio ije mzoga badala ya mzigo.😁😁😁😁 mkuu kua serious basi kwani wewe kwenye keyboard yako ukitaka kuandika kitu haviji vingi???
Nimetoa onyo kali hapo kabla akina active hawajafanya jambo.Najikuta naongea nakiazi kama wewe kweli pombe sio chai😅
😹😹😹😹 Min kwahiyo member wa JF kina kajamba nani!!Wewe mkorofi tu ungekua hambo tungekusanua machimbo ya kutosha na sio haya ya hawa watindiga wawili , apeche alolo tia pangu pa kavu kajamba nani🤔
Nipakie kwenye bolt au bajaji babe 😹😹Njoo na kila kitu My 🤩
😅😅😅Govi zetu zinazimwa kabla ya miili yetu bwashee hivyo tuna uzoefu wa kutosha kuhusu kuzikwa
Safi, nizile ambazo alizizungumiza jamaa kwamba karanga inajaa kama njugu kachek utafurahia.Subiri nikaiangalie nimpikie shemeji yako.
Pale zinakujaga option nyingi ukibofya bila kuangalia madhara yake ndio hayoNdio ije mzoga badala ya mzigo.
Wewe tutashinda tunapigana wote majeuri sitaki… 😹😹😹babe! nipo hapa..
Tumeambiwa eti sisi tithiii tunataka kuwachuza watu… 😹😹Hivi ule uzi wako wa sauti ulifutwa jana?
Muebrania nipo🥰🥰
Mungu anakuona mkuu...😜🤣🤣🤣 ujasiri wa ajabu sana, 🥲 lakini usikute kaona huyo ndiyo wa kufanana naye 😎
Poa hamna noma mkuu ila shemeji yako aheshimiwe.Pale zinakujaga option nyingi ukibofya bila kuangalia madhara yake ndio hayo
Na mimi muisrael si wataniua 😹😹Wamejaa vitoto vya farao tu ni kulizana kama ambulance 😂😂
Egizagitiri (Exactly)Poa hamna noma mkuu ila shemeji yako aheshimiwe.
Yeah, a way is found or made. Sky is the limit.Kama ipo na unaiona sawa Mkuu
Ndio vizuri tumekutana sasa... tunaendana babe..😘..Wewe tutashinda tunapigana wote majeuri sitaki… 😹😹😹
Hata wewe nafasi hauna 🤣🤣Mungu anakuona mkuu...😜
Yaani kwa ukatili huu, mbinguni hauna nafasi kabisa....🤣
Kwamba roho aliyo nayo Jamaa, ana weza kula ugali kwa nyongo ya mamba 🦅Ila huyu jamaa anaroho ngumu sana aisee.....🤣 maana ile Dp ya mwali inahitaji ujasiri wa kipekee....😜
Aiseee!!Tumeambiwa eti sisi tithiii tunataka kuwachuza watu… 😹😹