Mimi ni muhuni ila kwako nimetulia ILOVE YOU Marry

Mimi ni muhuni ila kwako nimetulia ILOVE YOU Marry

Wewe mkorofi tu ungekua hambo mapenzi ungepata ya kutosha na sio haya ya hawa watindiga wawili , apeche alolo tia pangu pa kavu kajamba nani🤔
Marry Diana my love, tangu umchane huyu mywa mbege kwamba hana kazi anashinda jf anachuki sana na penzi letu, ona majina ambayo ametuita hapo.
 
Back
Top Bottom