Mkali anatutisha tu😅Hujawahi kuniambia hii statement ina maana gani mkuu.
Mkuu kumheshimu shemeji yako ni jambo moja la busara sana.
Uzuri mmoja govi zinatangulia kuzikwa kabla yetuJamaa ndio anasemaga hivyo mkuu!😆
Asante, hii fursa ingekuwa yako ila ndiyo hivyo ya mungu mengi bahati imemwangukia Marry.Hongera kwa kupendana.
Yani kwamba fursa imegoma kwa ephen ikaenda kwa hiko kiazi cha buza ? Ndio maana wewe mi maskini naomba usimhusishe ephen ,Wangu na huu ujinga wenuAsante, hii fursa ingekuwa yako ila ndiyo hivyo ya mungu mengi bahati imemwangukia Marry.
Nilikureply kwenye uzi wa karanga za mayai kule uliona?
😂😂😂 unanifanya mtoto mdogo sio! Sema poa.Da sorry mkuu unajua niliandika mzigo sema ikaja hio
Mwingine aliongezea, "no woman will be buried virgin as long as I'm still working at the mortuary "😆😆 watu wana maneno sanaMkali anatutisha tu😅
Mnaendana na Marry!Asante, hii fursa ingekuwa yako ila ndiyo hivyo ya mungu mengi bahati imemwangukia Marry.
Nilikureply kwenye uzi wa karanga za mayai kule uliona?
Mimi nazikwa nalo.Uzuri mmoja govi zinatangulia kuzikwa kabla yetu
Tena Kabongo movie😂ka movie
Mkuu ukiendelea kumwita majina mabaya mpenzi wangu utanitafutia ban ohoo..!Yani kwamba fursa imegoma kwa ephen ikaenda kwa hiko kiazi cha buza ? Ndio maana wewe mi maskini naomba usimhusishe ephen ,Wangu na huu ujinga wenu
Govi zetu zinazimwa kabla ya miili yetu bwashee hivyo tuna uzoefu wa kutosha kuhusu kuzikwaMwingine aliongezea, "no woman will be buried virgin as long as I'm still working at the mortuary "😆😆 watu wana maneno sana
😁😁😁😁 mkuu kua serious basi kwani wewe kwenye keyboard yako ukitaka kuandika kitu haviji vingi???😂😂😂 unanifanya mtoto mdogo sio! Sema poa.
Najikuta naongea nakiazi kama wewe kweli pombe sio chai😅Mkuu ukiendelea kumwita majina mabaya mpenzi wangu utanitafutia ban ohoo..!
Wamejaa vitoto vya farao tu ni kulizana kama ambulance 😂😂Si atokee muebrania mmoja anishow vile mapenzi inakuanga tamu.!! 😥
Mayatima wa mapenzi tunateseka sijapentraaaaaaa 😏😹😹
Ni kweli huyu yupo kama mimi mwenyewe amechangamka sio mpole mpole kama nyie wengine na ana adabu nikimuita mahali anakuja chap,Mnaendana na Marry!
Sijaona.
Kama unafanya biashara nikitag kule kuna video nlikuwekea, kama unapika kula tu sio muhimu sana.Sijaona.
Kazi kwelikweli..!Ni kweli huyu yupo kama mimi mwenyewe amechangamka sio mpole mpole kama nyie wengine na ana adabu nikimuita mahali anakuja chap,
Kuna taarabu wanaimba, kupendwa ndiyo huku (kupendwa kuheshimiwa..)