Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Kumalizana mara ngapi?si mngemalizana Pm Mkuu
Pole mkuu.Baada ya miezi mitatu
Nimegundua mke wangu ana mahusiano na x wake
Sasa kama mshamalizana huoni kuwa unajichoresha ๐?Kumalizana mara ngapi?
Usijali my love korofisha utanikuta.Haya ahsante,โค๏ธ
Ila samahani naingia jikoni ,nitarudi
Jamani mtu kuonesha mapenzi yake kwa mtu ampendae ni kujichoresha!!Sasa kama mshamalizana huoni kuwa unajichoresha ๐?
Kumbe hata ndoa Bado? Punguza wenge kijanaIlove you Marry, ijapo kuwa wewe sio pua yangu lakini iko wazi bila wewe siwezi kupumua.
Siku ya ndoa yetu ikifika nitatinga kanzu ya babu, tutacheza rumba tarabu itakuwa pambe.
Na usiku ukifika nitakufundisha hesabu, ukikosea majawabu nitakuchapa kwa mkwaju hadi utoe vilio vya ajabu, Majirani wapate tabu wakitaka wahame.
Ilove Marry.
Cc: Marry Diana
Daaa mbayaa sanaa alikuwa bado yuko naeerBaada ya miezi mitatu
Nimegundua mke wangu ana mahusiano na x wake
Na bado ๐๐Si atokee muebrania mmoja anishow vile mapenzi inakuanga tamu.!! ๐ฅ
Mayatima wa mapenzi tunateseka sijapentraaaaaaa ๐๐น๐น
Ndiyo.Is this necessary ?
Haya bwana mambo yenu tunawaachia wenyewe๐๐Ilove you Marry, ijapo kuwa wewe sio pua yangu lakini iko wazi bila wewe siwezi kupumua.