Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Kwendraaa πΉNa bado ππView attachment 3403495
Nitakupa kidogo somo kuhusu mapenzi, watu tunao kataliwa sana kama mimi hapa jf, ndiyo tunajuwa kupenda.Si atokee muebrania mmoja anishow vile mapenzi inakuanga tamu.!! π₯
Mayatima wa mapenzi tunateseka sijapentraaaaaaa ππΉπΉ
Sawa Mkuu enjoyJamani mtu kuonesha mapenzi yake kwa mtu ampendae ni kujichoresha!!
Tajiri Hana baya kawa masikini jeuri sasaChizi kapewa rungu, mbona dunia itasema tu.
dosho12, Selikavu, BLACKTIGER, Razorblade, Edo kissy, Smooth Criminal
View attachment 3403492
Meri huyu huyu wa JF? πNdiyo.
Unabonyeza wapi mkuu ili kupunguza wenge?Kumbe hata ndoa Bado? Punguza wenge kijana
Mahi mzigo wa serum ushaingia na kojie soap mwambie shem kabla mzigo haujaisha..!! πHaya ahsante,β€οΈ
Ila samahani naingia jikoni ,nitarudi
utasema vyote mkuuπKwendraaa πΉ
Huyo hata umuuzie kojie acid, hamna kitu hapaMahi mzigo wa serum ushaingia na kojie soap mwambie shem kabla mzigo haujaisha..!! π
Mchune chap chap kabla hajakata kamba udugu wangu..!! πΉ
πππ na ni kweli maana hamjaitwa ni vile tu watanzania hamtaki kupitwa kwenye mambo ya watu.Haya bwana mambo yenu tunawaachia wenyeweππ
Tumemtafuta kidogo tu karudi kwa speed ya umeme πππππKijana Masikini best man wako Harmful yupo wapi
Unamfundisha mwenzio tabia mbayaMahi mzigo wa serum ushaingia na kojie soap mwambie shem kabla mzigo haujaisha..!! π
Mchune chap chap kabla hajakata kamba udugu wangu..!! πΉ
Sio bonge la dada!!Nitakupa kidogo somo kuhusu mapenzi, watu tunao kataliwa sana kama mimi hapa jf, ndiyo tunajuwa kupenda.
Nataka nimpende Marry hadi awe bonge nyanya.
Utaji jei jei πΉπΉutasema vyote mkuuπ