Mimi ni mwajiriwa mpya, ninahitaji mkopo

Mkuu mbona umeongea point mbofumbofu sana leo? Huwa nakuaminia sana lkn leo umeniangusha. Kukopa kupo, hata akina mo wanakopa. Cha msingi mshauli mtu namna ya kuutumia mkopo.
Sio kila mtu ana mali ambazo anaweza kuuza akapata hela nzuri.
Naungana na wewe. Huwezi kutoboa bila mikopo. Matajiri wote wanakopa. Cha muhimu ambacho tunapaswa kujua ni matumizi ya huo mkopo. Hapo ndio somo haswa
 
Sentensi ya mwisho inaonyesha wazi wewe ni kula kulala kwa shemeji yako tena graduate usiyekuwa na ajira ya kueleweka mzee wa vizinga.

#MaendeleoHayanaChama
Eti kula kula hahahahsh[emoji2][emoji2]

Halafu sijawahi kaa kwa shemeji

Kwetu wote ni men

Na niko na ajira miaka 9 sasa

Tatizo una akili kama yule JIWE
 
Kakope kote! Ila ukijiroga tu kuingia kwenye 18 za Bayport, Platinum credit, Finca, Faidika, au taasisi yoyote ile ya kifedha! Badala ya benki kama crdb, nmb, nbc, tpb, nk basi ujiandae kuishi kama shetani.
Kuna tofauti gani ya kukopa kwenye hizo taasisi na benki mkuu fafanua kidogo kwa faida zaidi
 
Kuna tofauti gani ya kukopa kwenye hizo taasisi na benki mkuu fafanua kidogo kwa faida zaidi
Ufupi tu ni kwamba riba za kwenye mabenk zina unafuu ukilinganisha na riba za kwenye hizo taasisi za kifedha.
 
Mleta mada Habari.
Nakushauri usikope sehemu yoyote,, Anza mdogo mdogo kwa mfano ufuatao
1. Kila mwezi nunua kuku 1 au mbuzi 1. Ukianza na mbuzi basi fanya wakifika mbuzi 6 unauza wote halafu unanunua ng'ombe 1,, hivo hivo unakuwa mradi endelevu.
2. Fanya saving, Kisha fanya biashara ya ardhi, nunua eneo pembezoni mwa mji, Kama m kjjn najua unaweza nunua hata katikati ya kjjj.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…