funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Naungana na wewe. Huwezi kutoboa bila mikopo. Matajiri wote wanakopa. Cha muhimu ambacho tunapaswa kujua ni matumizi ya huo mkopo. Hapo ndio somo haswaMkuu mbona umeongea point mbofumbofu sana leo? Huwa nakuaminia sana lkn leo umeniangusha. Kukopa kupo, hata akina mo wanakopa. Cha msingi mshauli mtu namna ya kuutumia mkopo.
Sio kila mtu ana mali ambazo anaweza kuuza akapata hela nzuri.