Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Hata kama ningekuwa Ni Mimi. Ningesema tu, kwani Mimi Kuna mtu namwogopa humu.Au ni yeye mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1732]
Ishtoshe, Mimi siyo Mwalimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama ningekuwa Ni Mimi. Ningesema tu, kwani Mimi Kuna mtu namwogopa humu.Au ni yeye mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1732]
Walimu wana QI ndogo sana...wananuka mikopo..bado chama chao kina walamba hela kila siku.Walimu wanna matatizo sana. Yaani sijui wametupiwa jini, hata sielewi.
Juzi hapa nilikuwa na mwalimu fulani, amekopa 8.5M NMB kwenda kununua gari.
Gari lenyewe hajanunua na pesa sijui kapeleka wapi. Mwenyewe anadai ana biashara, lakini muda wote kafulia.
Juzi tu hapa, nimemkuta tena anataka kukopa CRDB kwa kile kiasi kilichobaki.
Kumbuka ,huyu mwalimu hata kuthibitishwa kazini bado, na hata Bodi ya Mikopo hawajaanza kumkata.
Ina maana kwa kiasi cha pesa anachpata sasa hivi, akikikopea CRDB na Loan Board wakianza kumkata atakiwa hapati mshahara [emoji3]
Na kama atapata, basi itakuwa labdaTsh 50,000
Igwee igwee igwee hapo umemaliza mkuuZipo Saccos nzuri na nyingine za kiboya tu.
Pili , Saccos siyo taasisi ambazo unaweza kuamka tu ukaenda kuchukua mkopo.
I'll ukopesheke SACCOS inabidi kwanza ujiunge uwe Mwanachama.
Halafu uweke akiba, then kupitia hiyo akiba ndio utakopesheka pesa Mara tatu ya hiyo akiba yako.
Vile vile, mikopo ya SACCOS inahitaji uwe na mdhamini ( Mwanachama mwenzio wa SACCOS ) tena Saccos nyingi huwa zinahitaji uwe na Mali isiyohamishika.
Kwahiyo, unaweza kuona kukopa Saccos siyo kitu cha kuamka asubuhi tu na kukopa.
ONYO:
Epuka kukopa kwenye vitaasisi. Narudia KOPA BANK tu.
Walimu wanna matatizo sana. Yaani sijui wametupiwa jini, hata sielewi.
Juzi hapa nilikuwa na mwalimu fulani, amekopa 8.5M NMB kwenda kununua gari.
Gari lenyewe hajanunua na pesa sijui kapeleka wapi. Mwenyewe anadai ana biashara, lakini muda wote kafulia.
Juzi tu hapa, nimemkuta tena anataka kukopa CRDB kwa kile kiasi kilichobaki.
Kumbuka ,huyu mwalimu hata kuthibitishwa kazini bado, na hata Bodi ya Mikopo hawajaanza kumkata.
Ina maana kwa kiasi cha pesa anachpata sasa hivi, akikikopea CRDB na Loan Board wakianza kumkata atakiwa hapati mshahara 😀
Na kama atapata, basi itakuwa labdaTsh 50,000
Sawa mkuu..tunakolombweza tu humu muda uendeHata kama ningekuwa Ni Mimi. Ningesema tu, kwani Mimi Kuna mtu namwogopa humu.
Ishtoshe, Mimi siyo Mwalimu.
Kuhusu kuwa na IQ ndogo Mimi sijui.Walimu wana QI ndogo sana...wananuka mikopo..bado chama chao kina walamba hela kila siku.
#MaendeleoHayanaChama
Lakini kuhusu kukopa mbona wafanyakazi wote wa serikali wanakopa ?, hapa nawaona manurse ,bibi afya,kilimo na mifugo ,watendaji wa kata na mitaa,madktari,na wengne wote naona wote wanakopa .Sasa nashangaa unavyosema walimu wana IQ ndogo kisa wanakopa.Walimu wana QI ndogo sana...wananuka mikopo..bado chama chao kina walamba hela kila siku.
#MaendeleoHayanaChama
Mpaka uchomoke hapo hakuna rangi utaacha kuona. Sikutishi ila utaleta mrejesho baada ya 2yearsView attachment 2118005
Kuna jamaa yangu mmoja, ile taasisi ya mkopo ya mke wa Mkapa- siikumbuki jina walimfanya hamna yaniMikopo siyo mibaya ila fuata kanuni:
1. Usikope kwenye vitaasisi vyenye riba ya zaidi ya asilimia 2 kwa mwezi.
2. Usikope mkopo wa muda mrefu sana. Kama unahitaji mkopo wa muda mrefu sana, usizidishe miaka mine (4).
3. Usikope pesa kama huna uhakika wa kitu unachoenda kufanya.
4. Usikope kununua liabilities ( Vitu vya ndani, pikipiki, gari, radio, kulipa madeni mengine )
5. Linda sana Check No. Yako. epuka sana. Kutaoa Access ya Check No yako kukatwa katwa pesa na vitaasisi uchwara.
Kuhusu kuwa na IQ ndogo Mimi sijui.Walimu wana QI ndogo sana...wananuka mikopo..bado chama chao kina walamba hela kila siku.
#MaendeleoHayanaChama
Halafu huyo huyo ndio amfundishe mwanao apate ufahamu.Walimu wanna matatizo sana. Yaani sijui wametupiwa jini, hata sielewi.
Juzi hapa nilikuwa na mwalimu fulani, amekopa 8.5M NMB kwenda kununua gari.
Gari lenyewe hajanunua na pesa sijui kapeleka wapi. Mwenyewe anadai ana biashara, lakini muda wote kafulia.
Juzi tu hapa, nimemkuta tena anataka kukopa CRDB kwa kile kiasi kilichobaki.
Kumbuka ,huyu mwalimu hata kuthibitishwa kazini bado, na hata Bodi ya Mikopo hawajaanza kumkata.
Ina maana kwa kiasi cha pesa anachpata sasa hivi, akikikopea CRDB na Loan Board wakianza kumkata atakiwa hapati mshahara [emoji3]
Na kama atapata, basi itakuwa labdaTsh 50,000
Mkuu mbona umeongea point mbofumbofu sana leo? Huwa nakuaminia sana lkn leo umeniangusha. Kukopa kupo, hata akina mo wanakopa. Cha msingi mshauli mtu namna ya kuutumia mkopo.Sababu ya kukopa? kama unaona kbs uwezo wakupotezea hiyo sababu upo
potezea,ila kama unakopa ili upate pesa zaidi ya hiyo "go ahead" lakini tofauti
na hapo fanya uwezalo usikope,mara 100 uuze vitu/mali zako upate kiasi ukitakacho
Kama huna mali ya kuuza ukapata kiasi cha pesa unayoitaka kukopa,asee Usikope maana
ni dhahiri kbsa unakopa pesa iliyo juu ya uwezo wako,itakutesa sana kwenye kuirudisha,utanyooka!
Uongo kunogesha genge, NMB hakuna mkopo mkubwa hivo kama hujathibitishwa kaziniWalimu wanna matatizo sana. Yaani sijui wametupiwa jini, hata sielewi.