Niambie Tu
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 280
- 727
Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.
Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.
Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.
Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.
Kwanini nimekuja kwenu.
Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.
Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.
Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.
Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.
Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.
Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.
Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.
Karibuni kwa ushauri wakuu.