HOJA Mimi ni mwajiriwa Serikalini. Nilikopa, ila nimefeli malengo nahisi ninaenda kupotea

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
kuna mbinu za kijasiriamali za kugenerate capital.

ad hominem fallacy
Utumishi waumma ni fursa ya kujipatia mtaji kwasababu unakopesheka,cha kushauri tu asikope mkopo wa muda mrefu,sio asikope kabisa wengine tumekopa na ndio tukapata mitaji ya biashara na tukanyanyuka kibiashara na kulipa madeni ya mikopo acheni kutisha watu.
 
Mkuu mi nina ushauri kwako..

Kama huna option ya kubadili ajira yako labda kwenda sekta binafsi yaani kwamba unategemea kufia serikalini basi fanya haya...

weka mpango wako wa miaka 5, punguza matumizi yasiyo ya lazima kama kupiga manyanga na kutapanya pesa hovyo yaani kua bahili.

Usikurupuke kukopa kisa huna pesa ya kutumia, jinyime.
Kwa sasa acha kukopa kabisa, bajeti hiyo laki mbili yako utoboe mwezi bila madeni kabisa.

Usikimbilie kuanzisha biashara kwa mikopo na huku hiyo biashara husimamii wewe.
Endelea kujifunza, save pesa yako, tunza kibunda kwa njia mbalimbali.

Ogopa kushindana na mtu, shindana na wewe mwenyewe.

NB. Mke hana kosa, wewe ndo kichwa, ulimkuta hana kitu, ulimuoa ili akuzalie , akupikie, akufulie na ule mbunye. Hayo majukumu mengine ni kumpa mzigo asiouweza labda umjenge kwanza kua hivyo sio kwa haraka namna hiyo.
Hivi hizi akili za kusema usianze biaahara kwa hela ya kukopa huwa mnazitolea wapi?

Au hizo biashara mnazoanzisha bila pesa ya kokopa hiwa hazifi?

Mnazingua sana..mshaurini namna gani atasiamama tena kama ameamua kuingia kwenye biashara tena.
 
Mara unapokea laki 2 mara ukikopa tena unapokea laki 3 umechanganyikiwa au unadanganya
 
Ukithibitishwa kazini maafisa utumishi wanatoa namba zako kwa watoa mikopo na ma-bank inahitaji nguvu kubwa ku-resist wanatuma msg sio chini ya 4 kwa siku na simu za hapa na pale ukiwa kichwa maji au tatizo limekuja unajikuta umekopa bila kujipanga
 
Kokote kwenye changamoto ndio mafanikio yalipo. Kama unaweza lipa kwanza madeni yako yote,

Pili save kiasi fulani alafu rudi tena pale ulipoona umefeli, maana tayari ulikuwa na foundation na experience zaidi katika hilo, kuliko kwenda sehemu nyingine nakuanza foundation mpaya na experience mapya.

Imagine ulikofeli ulikuwa na 50% ya ewelewa na maarifa katika hilo jambo. Ukisema ukaanze upya kwenye experience nyingine utaanza na 0%. Fikiria uliacha 50% experience .
 
Hivi hizi akili za kusema usianze biaahara kwa hela ya kukopa huwa mnazitolea wapi?

Au hizo biashara mnazoanzisha bila pesa ya kokopa hiwa hazifi?

Mnazingua sana..mshaurini namna gani atasiamama tena kama ameamua kuingia kwenye biashara tena.
Sio umeona kilichompata mleta uzi? Biashara imekufa na sasa analipa mkopo ambao kiuhalisia hamna ulichofanyia.

Faida ya kuanza kwa pesa isiyo ya mkopo ni hiyo hata ikifeli hudaiwi.
 
Na michepuko huna,.. una shindwaje kujipambania?!.. mtafute Nanauka huko social medias akupe madini, humo humo ako na cancelling.. kichwa kitulie hicho.
Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.

Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.

Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.

Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.

Kwanini nimekuja kwenu.

Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.

Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.

Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.

Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.

Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.

Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.

Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.

Karibuni kwa ushauri wakuu.
 
Umeshalipa kwa muda gani? Unaweza kufanya restructuring ya mkopo ili upunguze makato ya mwezi upate kwanza ahueni. Biashara sio lelemama, usianze na idea kubwa na zenye kutaka usimamizi mkubwa. Watu wanachukulia poa biashara ndogo kama mkaa, lakini zina faida na bidhaa haiozi 😂😂
 
Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.

Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.

Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.

Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.

Kwanini nimekuja kwenu.

Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.

Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.

Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.

Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.

Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.

Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.

Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.

Karibuni kwa ushauri wakuu.
Uskope mkuu unless una uhakika utatoboa kuna mtu ana mshahara kama wako na hajakopa na ana watoto wanne na house girl ,anza kidogo bank sio wajinga hawana hasara zaidi ya faida
 
Back
Top Bottom