Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Share ujuzi tuokoteze kidogo ikikupendeza mkuuNatengeneza vipodozi
Share ujuzi tuokoteze kidogo ikikupendeza mkuuNatengeneza vipodozi
Aliwezaje kukopa huku hajathibishwa?Hee ni maajabu kwanin hua mnakimbilia kukopa nina jamaa yangu hata hajathibitiwa keshakopa milion tano anabid alipe milion 7 kwa miez 17 na ela keshamaliza
👍Laki 2 tu.
Ukiishi ndani ya pesa yako bila ya kuharakia mambo kwa pupa unatoboa vizuri tu.
Lol 🤣Yah hapa sikupingi kaka..ila nimeshafanya self evaluation nimeona mahali nilipokosea hela nilipoipokea niliona kubwa so karibia million5 ikaishia kununua vitu vya ndani na nguo na kiasi kidogo nikapeleka kwa biashara ila sikuwa seriously japo
Pole sana mkuuMimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.
Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.
Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.
Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.
Kwanini nimekuja kwenu.
Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.
Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.
Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.
Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.
Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.
Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.
Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Pole kwa kuwa na mke mjinga sana kama wa kwangu!..Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.

Pombe anaisingizia tu, pombe haiiti mtu. Na sio kweli kua pesa yote anaimalizia kwenye urabu ila ni vile tu anaitaja mupate sehemu ya kupeleka lawama na matusi.Kama umeshajitambua kuwa ulevi utakupoteza badilika
Ingekuwa hujajitambua ndio kungekuwa tatizo na tungekushauri...maamuzi ni yako
Wacha Pombe,pambania familia
Mnawaonea hao wake zenu, ninyi mbona mmeajiliwa na hamjajiajili ila mnataka wale zenu ndo wajiajili mkidhani ni rahisi eeehPole kwa kuwa na mke mjinga sana kama wa kwangu!..
Katika mil.8 tumia 1.5ml,tengeneza saloon ya nywele kinyozi.....itakayokupa walau 15,000/- pday!
Hivi mfano mimi nilimfingulia duka la 4ml,viti ili auze pia vinywaji,kama bia soda nk,baada ya miezi sita hata vile biti na meza vikawa ameuza 😊Mnawaonea hao wake zenu, ninyi mbona mmeajiliwa na hamjajiajili ila mnataka wale zenu ndo wajiajili mkidhani ni rahisi eeeh
Mkuu usimlaumu kabisa, unakosea na kuongeza migogoro.Hivi mfano mimi nilimfingulia duka la 4ml,viti ili auze pia vinywaji,kama bia soda nk,baada ya miezi sita hata vile biti na meza vikawa ameuza 😊
#Mkuu this my truly story!
Soma vizuri,kuna maneno baada ya hiyo 700k ...alichukua hiyo kazi kwa sababu alishasota sana mtaani!Hapo unaona hiyo laki saba nyingiii hadi unaisema na ndio lengo kuu la kuandika ivi
Mwisho wa siku wanajifunza kwa njia ngumu zenye majuto makali ndio akili zinawarudi.. wakati huo ni too late
Haya ni matumizi mazuri sana akiviangalia hivi vitu ana enjoy hebu fikiria alivyo enjoy kombe la dunia na mikopo itaisha akiwa bado anavyo ni faida kubwa tena anaweza uza vikamsukumaTV nchi 70???
Fridge
Saboufa
Kitanda
Godoro
Bank zinaruhusu ila kiasi fulan cha pesa tu na saiv wameeka mkopo adi miaka anaeza chkua nmb na kias hutofautiana bank moja na nyingneAliwezaje kukopa huku hajathibishwa?
Kabisa aweke M- wekeza ila kwa hali yake ya kunywa pombe aweke UTT kule ni baada ya siku 3 ndo hela unatoka.Makubwa akivuliwa nguo hasimami huchutama Dunia imekupa unachostahili kwa sasa karibu kutulia kabla hujachukua maamuzi ya kukopa.
Usihadaike na stori za waliofanikiwa kama umeshauchukua mkopo uweke kwenye lakini ya voda na uuwekeze kwa mwezi utapata faida hata kidogo huku unafanya research ya biashara pmj na fursa nyengine.